JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ijue biashara ya uwakala kisheria

Wapo mawakala na wapo wanaohitaji kuwa mawakala. Kwa sasa biashara ya uwakala ni kubwa mno. Wapo mawakala mitandao ya simu kama Tigo, Airtel, Vodacom n.k, mawakala kampuni za usafirishaji kama mabasi, malori n.k, na kampuni nyingine nyingi. Mtindo wa biashara…

Athari za elimu bila pesa

Akifafanua madhumuni ya elimu kwa Taifa katika kuielezea sera ya Elimu ya Kujitegema, Rais Julius Kambarage Nyerere alitamka yafuatayo: “Kurithisha kutoka kizazi kimoja hadi kazi kingine maarifa na mila za Taifa, na kuwaandaa vijana wawe tayari kuchukua nafasi zao katika…

Umejiandaaje na ‘kibano’ cha Magufuli kiuchumi?

Wapendwa wasomaji, ninawasalimu kwa salamu za upendo. Naamini kwamba wengi wenu mnaendelea kufurahia, kushangaa, kupigwa na bumbuwazi ama kuchanganyikiwa kwa hatua mbalimbali zinazochokuliwa na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, au…

Imetimia nusu karne tangu kifo cha Salum Abdallah

Salumu Abdallah Yazidu (pichani)hatosahaulika kamwe katika ulimwengu wa muziki. Alikuwa mtunzi, mwimbaji wa bendi ya Cuban Marimba iliyokuwa na maskani yake katika mji wa Morogoro.  Wakati wa uhai wake alileta ushindani mkubwa katika muziki wa dansi mjini humo akishindana na…

Bundi atua Man Utd?

Klabu ya Manchester United ya jijini Manchester nchini England imeanza kupasua mioyo ya mashabiki wake baada ya kupata sare tatu mfululizo ndani ya majuma mawili. Man United maarufu kama Mashetani Wekundu ilipata sare nyumbani katika mchezo wa ligi ya mabingwa…

Mizengo mgonjwa

Waziri Mkuu  mstaafu, Mizengo Pinda anaumwa. JAMHURI limeambiwa kuwa Pinda ni mgonjwa kwa kipindi cha wiki mbili sasa, hali iliyomfanya asionekane hadharani. Si upande wa Serikali, wala familia yake waliokuwa tayari kueleza maradhi yanayomsumbua mwanasiasa huyo. Hata hivyo, watu walio…