JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk. Mengi kwaheri ya kuonana

Najua yameandikwa mengi kuhusu Dk. Reginald Mengi. Dk. Mengi, Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP na Mwenyekiti wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), amefariki dunia wiki iliyopita. Ni kutokana na kifo cha Dk. Mengi, leo nimeahirisha sehehemu ya…

Mwalimu Nyerere angekuwepo angesemaje?

Namshukuru Mungu nimeweza kuketi kuandika kumkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kipindi hiki cha kumbukizi ya kuzaliwa kwake na kujiuliza swali ambalo bila shaka Watanzania wengine nao wamekuwa wakijiuliza: Mwalimu angekuwapo akaona utendaji wa Rais John Pombe…

Kutokujiandaa ni kujiandaa kushindwa

Kujiandaa ni kujiandaa kushinda na kutokujiandaa ni kujiandaa kushindwa. Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln (1809 – 1865) anasema: “Ukinipa saa sita ili niukate mti, nitatumia saa nne za awali kuliona shoka langu.” Hii ni busara inayoonyesha umuhimu wa…

Unaitambua nguvu ya moja?

Moja ni mtihani. Kuna nguvu ya moja. Anayefunga goli ni mtu mmoja lakini timu nzima inafurahi. Lakini kwa upande mwingine kosa la mtu mmoja linachafua picha ya kundi zima, samaki mmoja akioza wote wameoza. Kuna nguvu ya moja. Kuna uwezekano…

Nawapongeza Mpanju, DPP Biswalo

Miongoni mwa habari zilizopewa umuhimu katika toleo hili inahusu kuachiwa huru kwa mahabusu 201 waliokuwa katika magereza ya wilaya za Musoma, Tarime na Serengeti mkoani Mara. Kuachiwa kwao ni matokeo ya ziara ya ukaguzi ndani ya magereza hayo uliofanywa na…

Buriani Dk. Mengi

Kifo kimeumbwa, kifo ni faradhi. Kifo ni ufunguo wa kufunga uhai wa binadamu duniani na kufungua maisha ya milele ya binadamu huko ahera (mbinguni). Faradhi na ufunguo umemshukia ndugu yetu mpendwa, Dk. Reginald Abraham Mengi.  Reginald Mengi amefariki dunia. Ni…