Author: Jamhuri
Fursa kwa wabunifu chipukizi tasnia ya sanaa
Nimepata fursa hivi karibuni kushiriki katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa atamizi ya sekta ya ubunifu katika nyanja za muziki, filamu, na mitindo iliyofanyika Dar es Salaam. Mradi huo, ambao unanuwia kunufaisha wadau wa tasnia ya sanaa waliopo ndani…
Ajali yateketeza kikosi
Wiki iliyopita familia ya soka duniani imepata pigo, baada ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya watu 81, wakiwamo wachezaji wa klabu ya Chopecoense ya nchini Brazil na kuacha simanzi kubwa Ndege iliyokuwa imebeba timu ya soka ya Brazil ilianguka wakati…
Prof. Ndalichako amvaa Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameingia katika mapambano ya wazi na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako kwa kumpa maagizo, ambayo ameyakataa. Makonda amemwagiza Waziri Prof. Ndalichako asiwasikilize wazazi wa wanafunzi wanaosoma…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 23
Kaula, Dk. Mlingwa, rushwa ‘iliwapofusha’ Zabuni hizo zilipokelewa na kufunguliwa katika ofisi za Halmashauri Kuu ya Zabuni tarehe 26 Juni, 1991 na baadaye kukabidhiwa Wizara ya Ujenzi kwa uchambuzi na tathmini. Zabuni zilifanyiwa uchambuzi na tathmini na wahandisi wa…
Unyayasaji kingono washika kasi Kilimanjaro
Matukio ya watoto kunyanyaswa kingono katika mji wa Moshi, yameibuka kwa kasi ya kutisha na kutishia usalama wa watoto, huku wengi wao wakiwa ni wanafunzi wa shule za msingi. Udhalilishaji huo unatokea huku wazazi wakitupiwa lawama kwa kushindwa kutoa ushirikiano…
Uchumi unakuwa kwa matabaka
Wakati Rais John Magufuli akieleza kuwa uchumi wa nchi umekuwa kwa asilimia 7.9 hadi kufikia robo ya mwaka huu na kuifanya Tanzania kushika nafasi ya pili baada ya Ivory Coast, Mchumi Mwandamizi na Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha…