Author: Jamhuri
Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani
Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na…
Baraza la Afya ya Akili kuanzishwa nchini
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili Nchini litakalosimamia muundo utakaoratibu Sekta mbalimbali za kitaaluma na kiutendaji ili kushugulikia ufanisi wa suala la afya ya akili. Majaliwa amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma…
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group, Dk Tulizo Shemu amesema changamoto za maumivu makali upande wa kushoto wa kifua wakati mwingine hutokana na tatizo la mstuko wa moyo. Kutokana na hili amewashauri jamii kufika hospitali…
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Ndg. Ludovick Nduhiye amefanya ziara ya kutembelea ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) zilizopo katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya malengo yake ya kuzitambua Taasisi…