JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mkuu apigwa yai

Waandamanaji wamempiga kwa yai Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison. Mkasa huo dhidi ya waziri mkuu ulitokea wakati wa mkutano wa kampeni Jumanne wiki iliyopita, bila kusita, walimtandika yai la kichwa. Vipande vya video vya tukio hilo vilionyeshwa kwenye televisheni…

Marais wataka uuzaji pembe za tembo

Nchi tano za kusini mwa Afrika zenye idadi kubwa ya tembo zimeanza kudai haki ya kuuza pembe za wanyama hao kwa msisitizo kuwa rasilimali hiyo iwekewe utaratibu utakaonufaisha wakazi wa maeneo ya mapori wanamohifadhiwa. Marais kutoka nchi za Botswana, Zimbabwe,…

Nigeria kutoa rais wa UNGA

Baada ya miaka 30 kupita Nigeria inaweza kutoa rais wa Baraza la Umoja wa Mataifa (UNGA). Kwa mara ya mwisho Joseph Nanven Garba ndiye aliyekuwa Rais wa UNGA mwaka 1989 kutoka Nigeria. Profesa Tijjani Muhammad Bande ambaye kwa sasa ni…

Mambo 6 kutoka kwa Mengi

Habari mpendwa msomaji. Kwanza kabisa niombe radhi kwa kutoendelea na makala ya ‘Nina Ndoto.’ Makala hizi zitaendelea kama kawaida wiki ijayo. Mapema Alhamisi ya wiki mbili zilizopita ilikuwa asubuhi yenye majonzi kwa Watanzania wengi. Tuliondokewa na mpendwa wetu Dk. Reginald…

Haki itendeke katika hili

Moja ya habari zilizochapishwa na gazeti hili ni kuhusu kupotea katika mazingira ya kutatanisha kwa mtuhumiwa wa uhalifu, Josephat Jerome Hans, akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi mkoani Dodoma. Habari hiyo imeeleza kuwa kijana huyo anatuhumiwa kwa wizi wa Laptop…

Ujamaa… (46)

Katika maisha ya Kiafrika ya kizamani watu wote walikuwa sawa. Walishirikiana pamoja na walishiriki katika uamuzi wowote unaohusu maisha yao. Lakini usawa huu ulikuwa usawa wa kimaskini; ushirikiano wenyewe ulikuwa wa vitu vidogo vidogo. Na serikali yao ilikuwa serikali ya…