JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kutokujiandaa ni kujiandaa kushindwa (2)

Mwandishi T. L. Osbon anasema: “Ukiacha kujifunza unaanza kufa.” Tafuta wazo jipya kila siku. Kumbuka usipotumia nguvu nyingi kuwaza mawazo yatakayoibadili dunia ni lazima utaajiriwa na watu waliotumia nguvu nyingi kuwaza mawazo yaliyoibadili dunia. Mwandishi wa vitabu vya kiroho, Tony …

Kujua ni kinga ya majuto

Kujua ni mtihani. Majuto ni mjukuu kwa sababu kuna kutokujua. “Ningejua” huja baadaye. Ukijua huu, ule huujui, ukijua hiki, kile hukijui. Haitoshi kujua, lazima kujali. “Hakuna anayejali kiasi unachokijua, mpaka ajue kiasi unachojali,” alisema Theodore Roosevelt. Kujua ni mtihani. “Kujua…

Tumekubali kuwa watu wa porojo

Hakuna wiki inayopita bila taifa letu kuingizwa kwenye mijadala. Mijadala yenye tija ni kitu cha maana. Shida ni pale tunapojikuta tukihangaishwa na mambo yasiyokuwa na faida yoyote – si kwa mtu binafsi wala kwa taifa letu. Kwenye mitandao ya kijamii…

Masharti ya maendeleo

“Kila mwananchi anataka maendeleo, lakini si kila mwananchi anaelewa masharti ya maendeleo, sharti moja kubwa ni juhudi. Sharti la pili la maendeleo ni maarifa. Juhudi bila maarifa haiwezi kutoa matunda bora kama juhudi na maarifa.” Nimenukuu maneno haya kutoka katika…

Yah: Mambo ni mengi muda mfupi, Rais tusaidie

Lazima nianze na salamu na kongole kwa wote ambao mmefunga mwezi  huu mtukufu, ni kama vile tumepishana kidogo na wenzetu Wakristo ambao wametoka kufunga, hii ni neema na ninaamini kuna kitu chema kinakuja mbele kutokana na imani za kidini na…

Umri mdogo sifa kibao

Sifa kubwa alizonazo Aslay ni ule uwezo wa kutunga, kuimba na kurekodi nyimbo nyingi kwa kipindi kifupi. Aslay ni msanii wa kizazi kipya ambaye tungo zake zimekuwa zikiwakuna wapenzi wa muziki huo, ndani na nje ya nchi. Nyimbo za kijana…