Author: Jamhuri
Rushwa ya ngono yamtumbukia mwalimu
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Jabarhila, iliyopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, Mwatanda Omari (37), amehukumiwa kwenda jela miezi 12 kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono. Mwalimu Omari alitenda kosa hilo Machi 9, 2017 kwa kumuomba rushwa hiyo…
Busara itumike TRAWU
Wiki iliyopita Gazeti hili la JAMHURI lilichapisha habari kuhusu kashfa iliyojitokeza wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi, kwa mwaka huu yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya. Kashfa hiyo imekikumba Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU). Ndani…
NINA NDOTO (18)
Taa nyekundu na kijani za maisha Zamani nilipokuwa nikisafiri na kupita katikati ya jiji palipokuwa na taa na kukuta taa nyekundu inawaka nilikasirika. Nilitamani muda wote taa ya kijani iwake ili tupite. Siku hizi nikifika na kuona taa nyekundu…
Tumlilie mzee Mengi tukitafakari maneno yake
Hakuna mtu anayeweza kuandika yote ya Dk. Reginald Mengi. Hata watu alioshinda nao na kukaa nao kwa miaka mingi, hawawezi kuyaeleza yote. Huyu alikuwa mtu wa kitaifa na kimataifa. Alikuwa mtu wa watu wote, wadogo, wakubwa, maskini, walemavu, matajiri, wanasiasa…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (14)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuhoji iwapo unazifahamu nyaraka tatu muhimu unazopaswa kuwa nazo baada ya kusajili kampuni. Nyaraka hizi nimepata kuzigusia katika makala zilizotangulia na hata nilipozungumzia Jina la Biashara nilizigusia. Kabla sijaingia kwa kina kuzungumzia nyaraka hizi,…
‘Bila elimu – dini tutakwama’
Miaka 20 kifo cha Mwalimu Nyerere Mei 16, mwaka huu Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) ambacho ni chama cha kitume ndani ya Kanisa Katoliki kiliandaa kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Dhamira…