Author: Jamhuri
2016: Mwaka wa machungu kwa ‘mapedejee’
Zikiwa zimesalia siku 18 tu kumaliza kwa mwaka huu, baadhi ya Watanzania wameuona mchungu katika Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli. Mwaka huu umekuwa mchungu kwa wale waliozoea kuishi kwa mipango, wasiokuwa na kazi maalumu zaidi ya…
Madereva wa vigogo vinara uvunjaji sheria
Baadhi ya madereva wa magari ya viongozi wa serikali wanatajwa kuwa katika orodha ya madereva wanaongoza katika makosa mbalimbali ya uvunjaji wa sheria za barabarani Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Prescanne Business Enterprises Limited, Adelardo Marcel, amesema…
MSCL kitendawili kigumu
Baada ya miezi 10 bila ya wafanyakazi wa MSCL kupata mishahara, Serikali imeonekana kutaka kutekeleza ahadi yake ya kutaka kuifufua Kampuni hii. Serikali imefanya mabadiliko ya uongozi katika baadhi ya nafasi kwenye menejimenti, imekaribisha na inashindanisha makampuni mawili ya kigeni…
Hotuba ya Rais Magufuli Miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika
Mheshimiwa Samia Suluhu, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiwa wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan…
Ndugu Rais umekisikia kilio chao!
Ndugu Rais, kwa unyenyekevu mkubwa nakusihi ulitegee sikio lako huku kunena kwangu mimi mtumishi wako nisiyestahili. Kusema polisi wanatumika vibaya umegusa, ‘penyewe’! Taifa limekusikia na wananchi wamekusikia pia! Ubarikiwe sana kwa kuwarudisha masikini wa Nyalingoko katika mashimo yao wanakohangaika kutafuta…
Mitandao ya Jinsia lawamani
Wadau mbalimbali wameituhumu mitandao inayojishughulisha na masuala ya kupinga ukatili wa kijinsia, kwa kile kinachodaiwa kuwa imekuwa ikitumika kisiasa ikiwa ni pamoja na kuitumia mitandao kama sehemu ya vitegauchumi vyao. Vyanzo vya habari vimeidokeza JAMHURI kwamba asilimia kubwa ya mitandao…