JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mabadiliko Bandari

Baada ya Bandari ya Dar es Salaam kulalamikiwa kwa muda mrefu kuwa haina ulinzi mzuri wa mali za mateja, hatimaye uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) umechukua hatua za dhati kwa kuimarisha mfumo wa ulinzi. Kati ya mambo waliyofanya,…

Hatutarajii mipasho, vijembe bungeni

Wiki hii linaanza Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bunge hili linaanza na changamoto nyingi. Linaanza na changamoto ambayo vyama vya upinzani ukiacha ACT-Wazalendo havijichanganui iwapo havitambui ushindi wa Rais John Magufuli au vinautambua. Wakati anahutubia Bunge…

Ukweli kuhusu UDA

Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena alikutana na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam akazungumza nao kuhusiana na habari kuu tuliyoichapisha katiak toleo Na 225 la Gazeti la JAMHURI. Katika maelezo yake,…

Prof. Lipumba atia ubani Zanzibar

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amekuwa sehemu ya makundi ya watu wa kada mbalimbali nchini anayepinga kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar. “Zanzibar inaumbiwa hatari kubwa, na mtu wa kuokoa hatari hiyo si mwingine. Ni…

Hatuna ugomvi na Kikwete

Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukichapisha habari zinazoruhusu Taifa letu. Hii ndiyo imekuwa kazi yetu kubwa kwa mwaka huu wa tano wa uhai wa Gazeti la JAMHURI. Wasomaji wetu wanatambua namna tulivyoandika habari ‘nzito’, zikiwamo za wale ‘wasioandikika’ kuanzia kwenye…

Barua yangu kwa Profesa Ndalichako

Awali ya yote naipongeza Serikali kwa hatua chanya iliyoichukua ya kutoa elimu bure kuanzia elimu ya msingi hadi kidato cha nne. Ni hatua ya kupongezwa na kila mpenda maendeleo wa nchi yetu. Lakini, hatua ya kutoa elimu bora kwa kila…