Author: Jamhuri
Caspian, Tancoal zavunja mkataba
Kampuni ya Tancoal inayochimba makaa ya mawe wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma imekubali kuilipa Kampuni ya Caspian shilingi bilioni 18.4 na kuvunja mkataba baada ya fedha hizo kuzuiliwa miaka miwili kutokana na utata wa kimasilahi. Uchunguzi uliofanywa na Gazeti la JAMHURI…
TPA: Mteja ni mfalme
Bandari ni lango kuu la biashara kwa Tanzania na nchi zote zinazotumia bandari zetu hususan Bandari ya Dar es Salaam ambazo; ni Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Zambia, Zimbabwe, Malawi, Sudan Kusini na Comoro. Kutokana na umuhimu…
Ndugu Rais hekima ya mwanadamu ni kuchagua ya kusema
Ndugu Rais imeandikwa, usisemeseme hovyo ewe mdomo wangu bali uvilinde vilivyomo ndani yangu. Maneno mabaya yanachafua moyo na roho pia, kinywa changu ukayatangaze mema yampendezayo Mungu. Hekima ya mwanadamu huchagua ya kusema. Tuitawale midomo yetu ili isitugombanishe; tuitawale midomo yetu…
Viongozi wetu wasome magazeti yote
Kinyume cha ulemavu wa fikra ni upevu wa fikra. Ili upate upevu wa fikra ni lazima kuelimishwa na juhudi binafsi za kusaka maarifa. Lakini pia kusikiliza na kujifunza kutoka kwa wengine. Kwa viongozi ni muhimu sana kusikiliza maoni kwenye jamii…
Aliyesababisha ndoa kuvunjika anastahili mgawo wa mali?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyesababisha ndoa kuvunjika kama anastahili mgawo wa mali. Mfano, mwanamke katika ndoa anaanzisha chokochoko makusudi ili ndoa ivunjike apate mgawo wa mali aendelee na maisha yake au mwanamume kwa tabia zake mbaya…
Usiamini uwepo wa uchawi (2)
Chunguza, utabaini kwamba uwepo wa makanisa haya ni kichocheo cha uwepo wa ushirikina. Sipingi uwepo wa makanisa. Hapana, ila napinga uwepo wa wachugaji ambao hawafahamu teolojia ya maandiko matakatifu. Siwezi kuchelea kuandika kwamba, baadhi ya wachungaji wengi wa makanisa hawafahamu…