Author: Jamhuri
Umuhimu wa misingi mitatu ya udugu
“Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja” Hii ni ahadi ya kwanza ya mwana- TANU, kati ya kumi ambazo alizitii na kuzitimiza enzi za uanachama wake. Ukweli ahadi tisa zote zimebeba neno zuri na tamu katika kulitamka, nalo…
Tanzania na ndoto za Olympic 2020
Wadau wa mchezo wa soka wameishauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Tanzania (TFF) juu ya kufanya maboresho yatakayo saidia timu ya taifa kupata nafasi ya kushiriki katika mashindano kadha ya kimataifa ikiwemo Olympic inayotarajia kufanyika nchini Japan mwaka 2020….
Bilionea amjaribu Magufuli
Tajiri mwenye ukwasi wa kutisha anayeishi jijini Dar es Salaam, anaonekana kuwa wa kwanza kumjaribu Rais John Pombe Magufuli, aliyesema hajaribiwi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Hali hii imetokana na tajiri huyo kuamua kulitumia Jeshi la Polisi kutekeleza matakwa yake, na…
Ufisadi watikisa katika ngozi
Azma ya Rais John Pombe Magufuli kuelekea nchi ya viwanda huenda isitimie kutokana na genge ya walanguzi kutoka nje ya nchi kuikosesha Serikali mapato zaidi ya bilioni 25, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. JAMHURI imebaini ufisadi wa kutisha unaodidimiza sekata ya…
RIVACU wamlilia Rais Magufuli
Hatima ya Chama cha Ushirika cha Wakulima wa eneo la Bonde la Ufa katika mikoa ya Manyara na Arusha (RIVACU) sasa iko mikononi mwa Rais John Magufuli, baada ya Baraza la Ardhi la Mkoa wa Manyara kuirudisha katika kiwanja cha…
Agundua teknolojia ya kusafisha maji
Je, unajua kwamba Tanzania sasa kuna teknolojia ya kubadilisha majitaka na kuwa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu? Pengine utabaki umeduwaa, ila jambo hilo sasa linawezekana kutokana na mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandera, kilichoko jijini Arusha,…