Author: Jamhuri
Viungo Stars mhh…
Taifa Stars imeanza vibaya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kukubali kipigo cha magoli 2-0 dhidi ya Senegal (Simba wa Teranga) katika dimba la Juni 30, jijini Cairo, Misri. Goli la kwanza la Senegal lilifungwa na Keita…
Bilionea Monaban wa CCM apata pigo
Mfanyabiashara bilionea Dk. Philemon Mollel, anayemiliki kampuni ya Monaban Trading and Farming Co. Limited, amepokwa kinu kilichokuwa mali ya Shirika la Usagishaji la Taifa (NMC) jijini Arusha. Pamoja na kunyang’anywa kinu hicho, Dk. Mollel ambaye ni kada na mfadhili wa…
Mwendokasi usitufunze chuki
Kama hamfahamu, Mpita Njia, maarufu kama MN ni mtumiaji mzuri wa usafiri uendao haraka (mwendokasi) mara kwa mara anapokuwa katika Jiji la Dar es Salaam. Kwa takriban miaka miwili ambayo amekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya usafiri huo amezishuhudia tabia…
Chanzo kipya kodi tril. 23/- hiki hapa
Wakati mjadala wa bajeti ya Sh trilioni 33 kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ukiendelea bungeni, JAMHURI limeelezwa kuwapo kwa chanzo kikubwa kipya cha mapato kilichopuuzwa kwa miaka takriban mitatu. Wataalamu wa masuala ya soko la mtandaoni wanasema Tanzania ikiwekeza katika…
Ubakaji watoto wakubuhu Same
Matukio ya kubakwa watoto wa kike wenye umri chini ya miaka 18 katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yanaongezeka licha ya baadhi ya washitakiwa kufungwa jela. Taarifa zinaonyesha kuwa kati ya Januari, mwaka jana hadi Mei mwaka huu, mashauri 34…
Upanuzi Bandari ya Dar kuongeza ufanisi
Serikali inaendelea kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi katika kuhudumia shehena kubwa zaidi. Katika maboresho hayo magati 1-7 yanafanyiwa ukarabati pamoja na ujenzi wa gati jipya litakalohudumia meli zenye shehena ya magari. Maboresho hayo ambayo yako chini…