Author: Jamhuri
Riadha yapata msisimko
Baada ya mchezo wa riadha kufanya vibaya kwa muda mrefu na kuanza kupoteza msisimko miongoni mwa Watanzania, sasa unaonekana kurudisha msisimko baada ya mafanikio kutoka kwa mwanariadha Felix Simbu. Ushindi wa Simbu katika mashindano ya mbio za Standard Chartered Mumbai…
Gama kitanzini
Mbunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama atafikishwa mahakamani wakati wowote kutokana na ufisadi, JAMHURI linathibitisha. Uchunguzi uliofanywa na gazeti la JAMHURI umebaini kuwa Gama, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro atapandishwa kizimbani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya…
Kijiji chawapa Wazungu ekari 25,000
Kampuni ya AndBeyond ya Afrika Kusini, imeingia mkataba na uongozi wa Kijiji cha Ololosokwan, Ngorongoro mkoani Arusha unaoiwezesha kuhodhi ekari 25,000 za ardhi kwa ajili ya utalii wa picha. Malipo yote yanayofanywa na kampuni hiyo yanaishia mikononi mwa viongozi wa…
JAMHURI lawezesha upatikanaji madawati
Hivi karibuni gazeti hili liliandika shughuli za uchimbaji wa madini ya dhahabu zinavyoathiri taaluma kwa ya wanafunzi wa Shule za Msingi Ikandilo iliyopo katika Kijiji cha Ikandilo, Kata ya Nyaruyeye, wilayani Geita na kusababisha baadhi ya wanafunzi kutokuhudhuria masomo ipasavyo….
Mjane aomba Rais Magufuli amsaidie
Mmoja wa wakurugenzi wastaafu wa idara iliyoshika moyo wa nchi (jina linahifadhiwa) ametajwa kushirikiana na baadhi ya Maofisa katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuandaa mpango wa kumpokonya kiwanja mkazi wa Ilala, jijini Dar es Salaam, Habiba…
Turuhusu ushindani mwendokasi
Wiki iliyopita Serikali imezindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi ( DART). Awamu hii sasa itakuwa ni ya upanuzi wa Barabara ya Kilwa kwenda Mbagala. Tanzania ni moja kati ya nchi tatu barani Afrika ambazo zina…