Author: Jamhuri
Aweso ataka utafiti upatikanaji maji Dodoma
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewata wataalamu kufanya utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji jijini Dodoma ili kuruhusu uchimbaji wa visima virefu kwa haraka katika mkoa huo kutatua tatizo la upungufu wa maji linalotokana na ongezeko la watu katika…
Vijana Queens yafutiwa matokeo
Timu ya wanawake ya Vijana Queens iliyokuwa inashiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam imefutiwa matokeo ya mchezo wake wa nusu fainali namba 504 ilipocheza dhidi ya JKT Stars. Taarifa ya Kamati ya Ufundi na Mashindano ya Chama…
NMB kuchangia bil.1/- matibabu ya watoto JKCI
Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamesaini makubaliano ya ushirikiano yatakayowezesha benki hiyo kusaidia gharama za matibabu ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo kwa kiasi cha Sh. Bilioni 1 kwa miaka minne,…
Benki ya Dunia yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Heet Chuo Kikuu Mzumbe
Ujumbe kutoka Benki ya Dunia umeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaoendelea Chuo Kikuu Mzumbe, baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa majengo mapya ya taaluma. Mradi huu unalenga…
Watoto 85 wapatikana kwa upandikizaji mimba Kairuki Green IVF
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watoto 85 wamezaliwa kwa huduma ya kupandikiza mimba inayotolewa na kituo cha Kairuki Green IVF tangu kuanzishwa kwake mwaka 2022. Hayo yalisemwa jana Bunju Mianzini jijini Dar es Salaam kilipo kituo…
Naibu Rais Mteule Kithure Kindiki kuapishwa leo
Kamati maalum imebuniwa kupanga kuapishwa kwa Kithure Kindiki kama Naibu Rais mpya nchini Kenya. Mkuu wa Wafanyakazi ambaye pia ni Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Kosgei ametangaza kwenye gazeti la serikali kamati ya wanachama 23 kusimamia kuandaliwa kwa hafla…