JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mapya vitambulisho vya ujasiriamali Kwimba

Vitambulisho vya Rais John Magufuli vya wajasiriamali vimezua sokomoko baada ya kaya maskini zilizomo kwenye mpango wa kusaidiwa fedha kutoka katika Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAF) kuamriwa kulipia vitambulisho hivyo. Hali hiyo imetokea wilayani Kwimba, Mkoa wa Mwanza,…

Mhasibu Wizara ya Afya kizimbani

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Mhasibu wa Wizara ya Afya, Yahaya Athuman (39) akishitakiwa kwa makosa 20 yakiwamo ya kughushi nyaraka na kuisababishia serikali hasara ya  Sh milioni 34 zilizotolewa na serikali mwaka 2014 kwa…

Ushauri huu uzingatiwe

Wiki iliyopita wadau mbalimbali nchini pamoja na wengine kutoka jumuiya ya kimataifa walishiriki mdahalo mahususi kuhusu masuala ya biashara nchini. Katika mdahalo huo mengi yalijitokeza yenye lengo la kuboresha ili hatimaye kupata tija zaidi kwa upande wa tasnia ya biashara…

NINA NDOTO (23)

Itumie intaneti isikutumie   Kama kuna watu waliishi kuanzia miaka ya 1990 na kurudi nyuma ukiwarudisha leo duniani wataona maajabu mengi. Dunia imebadilika sana, imekuwa kama kijiji. Leo hii unaweza kuwasiliana na mtu aliyeko nje ya nchi kana kwamba ni…

Tumejipanga kuvihudumia viwanda

Wakati nchi ikijiandaa kwenda kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) inazidi kuwapatia wananchi wa Dar es Salaam na Pwani maji. Ni wakati mwafaka kuwahamasisha na kuwaelimisha…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (19)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuainisha mapato yatokanayo na ajira ambayo kisheria unapaswa kuyalipia kodi kama mwajiriwa. Ni wajibu wa mwajiri kukata kodi hiyo ya zuio kwa pato la mwajiriwa pale anapompatia malipo hayo kila mwezi. Sitanii, jambo moja…