JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mali iliyopatikana kabla ya ndoa inahesabika ya familia?

Mara kadhaa linapoibuka suala la kugawana mali pale ndoa inapohesabika kushindikana, masuala kadhaa ya msingi na yanayohitaji uelewa huwa yanaibuka. Moja ya suala kati ya masuala ambayo huibuka ni hili la kutenganisha na kufafanua hadhi ya mali za wanandoa ili mgawanyo uweze…

Uponyaji wa majeraha katika maisha (2)

Katika familia yangu tuliwahi kupata jeraha. Septemba 14, 1999 lilitokea tukio la kuhuzunisha kwenye familia yangu. Dada yangu kipenzi, Cecilia aliuawa kikatili, na aliyetenda tukio hilo ni mumewe. Dada aliuawa akiwa anamnyonyesha mtoto wake wa kike aliyekuwa na umri wa…

MAISHA NI MTIHANI (35)

Simba akizidiwa hula nyasi, huchambua asile miiba   Kutekeleza maono ni mtihani. Maono ni kuona ambacho hakionekani.  Kuna aliyesema: “Mtu bila maono ni mtu bila wakati ujao. Mtu bila wakati ujao atageukia wakati uliopita.” Atausifia wakati uliopita. Kuna wajenzi watatu…

Kuondoka Balton ni kosa kiuchumi

Mkutano wa Rais John Magufuli na wafanyabiashara ni miongoni mwa uamuzi wa busara uliosaidia kurejesha imani ya kundi hilo kwa serikali. Kulishatanda hofu kwamba wafanyabiashara ni kama vile watu wasiotakiwa, jambo ambalo si rahisi kutokea katika serikali yoyote makini. Nchi…

Tundu Lissu ‘moto’ wa nyika

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji hivi karibuni alikutana na waandishi wa habari kuzungumzia uamuzi wa Spika wa Bunge, Job Ndugai kuiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Jimbo la Mbunge Tundu Lissu…

Demokrasia ya vyama vingi si uhasama

Imetimu miaka 27 sasa tangu Watanzania waamue kurejesha mfumo wa demokrasia wa vyama vingi vya siasa nchini (1992 -2019). Katika harakati za kurejesha mfumo huu, kuna hotuba nyingi. Miongoni mwao viongozi waliotoa hotuba za namna hiyo ni Baba wa Taifa,…