Author: Jamhuri
Rostam: Wafanyabiashara tuzingatie sheria
Yafuatayo ni maelezo ya mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, wakati wa uzinduzi wa kampuni ya utoaji huduma za gesi, Taifa Gas, anayoimiliki. Katika kampuni hiyo, Rostam ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi. Uzinduzi huo ulifanywa na Rais wa Jamhuri ya…
JAMHURI kinara tena
Gazeti la uchunguzi la JAMHURI limetwaa tuzo mbili za uandishi bora wa habari (Excellence in Journalism Awards Tanzania – EJAT) kwa mwaka 2018, tuzo zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Hatua hiyo ni sehemu tu ya mafanikio ya gazeti…
Tunaihitaji sekta binafsi – Rais Dk. Magufuli
Kwa hiyo sekta binafsi endeleeni kujiamini, endeleeni kufanya kazi, mje Tanzania hapa ni mahali salama kwa uwekezaji. Tunawahitaji leo, tuliwahitaji juzi, tutawahitaji keshokutwa, tutawahitaji miaka yote kwa sababu Tanzania iko hapa kwa miaka yote. Tangu leo, kesho, keshokutwa na maisha…
Ndugu Rais, anayejidhania amesimama aangalie asianguke
Ndugu Rais, kama wapo wenzetu waliodhani kuzuia Bunge kuonekana kwa wananchi moja kwa moja kutawafanya wasijue yanayofanyika ndani ya Bunge, sasa wakiri kuwa hawakufikiri sawa sawa. Lisiporekebishwa hili kabla ya uchaguzi mkuu ujao itakuwa ni kwa hasara yetu wenyewe! Udhaifu…
TPA: Usalama ni namba moja katika shughuli za bandari
Bandari ni lango la biashara kitaifa na kimataifa, hivyo ni muhimu sana kufanya biashara katika bandari zenye usalama na mazingira rafiki na yanayovutia wateja. Kwa hiyo TPA ina wajibu wa kuhakikisha bandari zote nchini ni salama kwa wafanyakazi ili waweze kufanya…
Tumechimba kaburi la utalii wa filamu
Hapa Tanzania ukitamka neno ‘utalii’, haraka haraka akili za watu hukimbilia kwenye mbuga za wanyama, Mlima Kilimanjaro labda na fukwe za Zanzibar: Basi! Hata serikali inaelekea kufikiria hivyo, ndiyo maana mkazo kuhusu utalii uko kwenye aina hiyo tu ya utalii….