Author: Jamhuri
Bomu la ardhi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amepata jaribio kubwa kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. “Siku moja baada ya kuingia ofisini, alijifungia ofisini kwake akasema ana shughuli nyingi hivyo…
Bibi mjane Dar amlilia Makonda
Serikali ya Mtaa wa Nzasa Somelo, Kata ya Zingiziwa, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imetumia hila kumnyang’anya shamba la ekari tatu bibi mjane mwenye umri wa miaka zaidi ya 70. Shamba hilo ambalo limetenganishwa na Mto Nzasa, kipande…
Olduvai: Bustani ya ‘Eden’
Julai 17, 1959 Mary Leakey aligundua fuvu katika eneo linaloitwa FLK-zinj katika Bonde la Olduvai, Ngorongoro mkoani Arusha. Lilikuwa fuvu la zamadamu wa jamii ngeni, hivyo yeye na mume wake Louis Leakey waliita Zinjanthropus boisei. Hapa ndipo mahali kunakotambulika duniani…
Sheria ya Takwimu funzo
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha mkutano wake wa bajeti wiki iliyopita. Ukiondoa mjadala wa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, masuala mengine kadhaa yalijitokeza bungeni. Mojawapo ya mambo hayo ni serikali kuwasilisha mabadiliko ya sheria…
NINA NDOTO (24)
Watu ni mtaji Siku, wiki, miezi, miaka vinapita mbele yangu mimi kwanini nisimshukuru Mungu kwa kunilinda vyema? Nasema asante Mungu kwa zawadi ya Maisha. Naandika makala hii nikiwa na furaha sana kwa kufikisha mwaka mwingine. Ni furaha iliyoje. Asante…
Wadaiwa sugu KCBL waanza kusakwa
Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imeanza msako dhidi ya watu binafsi, vikundi vya wajasiriamali na kampuni zinazodaiwa mikopo na benki hiyo baada ya kushindwa kufanya marejesho ndani ya muda kulingana na masharti ya mikopo. Msako huo unafanywa na benki…