Author: Jamhuri
Marekebisho vitambulisho vya wamachinga yanahitajika
Rais John Magufuli amejipambanua kama kiongozi mpenda wanyonge. Mara zote amesikika na hata ameonekana akiwatetea watu wa kada hiyo ambao kwa muda mrefu wametaabika. Hili ni jambo jema linalostahili kutendwa na kiongozi mkuu wa nchi. Katika kutekeleza dhana hiyo ya…
Wananchi tunataka mabadiliko
Siasa ni sayansi, ni taaluma pia. Sayansi ina ukweli na uhakika, na taaluma ina maadili, kanuni na taratibu zake. Siasa ni mfumo, mtindo, utaratibu au mwelekeo wa jamii katika fani zake zote za maisha. Ni utaratibu uliowekwa au unaokusudiwa kuwekwa…
Yah: Tumemaliza AFCON tujipange
Nianze kwa kuwapongeza vijana ambao kwa mara ya kwanza wametambua kwamba ni wawakilishi kwa maana ya mabalozi wetu waliokuwa wakipigania mafanikio ya taifa. Nawapongeza sana na tumeona ni jinsi gani ambavyo pamoja na jitihada zote kubwa walizokuwa nazo tumeshindwa kufanikiwa…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (5)
Wiki iliyopita katika sehemu ya nne hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Akina mwewe pia walikuwepo wananyakua matambara kwa fujo kisha wanalia Zwi! Zululu! Ndege wengine wadogo walikuwa wanaruka juu juu na baadhi yao walikuwa wanaruka chini chini. Bata mzinga…
V.MONEY unakua kimuziki na kuikuza sanaa yako
Sikio halilali njaa, wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva baada ya kukanyaga na kutimua vumbi mitaani kwa nyimbo za vijana wa kundi la Wasafi (WCB) sasa ni muda wa Vanessa Mdee, maarufu kama Cash Madame na wimbo wake wa ‘Moyo’….
Lampard kuanza kipimo na vigogo
Wiki iliyopita mchezaji wa zamani wa timu ya Chelsea na West Ham United, Frank Lampard, alitangazwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Chelsea (The Blues). Timu hiyo inayopatikana katika Jiji la London, Uingereza, imeingia mkataba wa miaka mitatu na Lampard ambaye…