Author: Jamhuri
Unafsi unavyoleta matatizo Tanzania
Tanzania haiwezi kuendeshwa kupata maendeleo mazuri iwapo viongozi wake ni watu wenye unafsi katika kuyaendea maendeleo ya dunia, kama kanuni za sayansi zinavyotaka na imani ya Muumba wetu inavyotaka na inavyoagiza katika kuyakabili mazingira yetu nchini. Ifahamike kwamba Tanzania ni…
Wakati wa Afrika kushika hatamu unawadia
Mwenendo wa takwimu za kuzaliwa watoto duniani zinaashiria kuwa Bara la Afrika litakuwa na vijana wengi zaidi kuliko maeneo mengine ya dunia ifikapo mwaka 2050. Ni suala ambalo linatoa fursa na wajibu mkubwa kwa Bara la Afrika katika uhusiano wa…
Utamaduni ulindwe
Mamlaka husika zimetakiwa kuwa makini katika kuhakikisha zinatengeneza mazingira rafiki kwa wasanii wa nyimbo za asili, ambao wapo wachache kutokana na ukosefu wa soko katika burudani hiyo. Imebainika kuwa baadhi ya wasanii wanaofanya sanaa za utamaduni ikiwamo ngoma, nyimbo za…
ZFA sasa tunaekelea FIFA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewatoa hofu wapenzi wa michezo nchini kwa kusema kuwa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kuwa mwanachama wa Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika hakuwezi kudhoofisha uhusiano mzuri uliopo kati ya TFF na ZFA. Akizungumza…
Unga unavyosafirishwa
Kampuni ya Usafirishaji wa Vifurushi (DHL) imeelezwa kutumiwa na wafanyabiashara haramu ya dawa za kulevya, kwa kusafirisha dawa hizo ndani na nje ya nchi. Vyanzo vya habari vya uhakika vimeliambia JAMHURI kuwa wauza unga wamekuwa wakitumia kampuni ya DHL kusafirisha…
Bodi ya Ununuzi na Ugavi yawafunda viongozi
Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwa kushirikiana na wakufunzi kutoka taasisi ya Uongozi, Mafunzo ya Uongozi, kwa viongozi wa vyama vya wanafunzi wa vyuo kadhaa hapa nchini wanaosomea fani ya ununuzi na ugavi. Mafunzo hayo ya siku…