JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Penye nia pana njia

Wiki iliyopita serikali ilitoa taarifa kuhusu uamuzi wake wa kuanza  mchakato wa ununuzi wa vichwa 22 vya treni, mabehewa 1,430 ya mizigo na mabehewa 60 ya abiria, vitakavyotumika kwenye uendeshaji wa reli ya kisasa, maarufu kama SGR, ambayo ujenzi wake…

NINA NDOTO (25)

Fanya kazi kwa bidii   Nyuma ya ndoto nyingi zilizofanikiwa kuna kufanya kazi kwa bidii. Kama haupo tayari kufanya kazi kwa juhudi sahau kabisa ndoto zako kutimia. Ukimuuliza kila mtu aliyefanya makubwa katika dunia hii, sentesi “fanya kazi kwa bidii”…

‘Wenye ualbino wako salama nchini’

Tanzania imetajwa kufanya vizuri katika kukomesha mauaji dhidi ya watu wenye ualbino. Mwaka 2006 Tanzania iliingia kwenye historia mbaya baada ya watu hao kuanza kuuawa kwa imani za kishirikina. Takwimu zilizotolewa Septemba 21, 2014 na Chama cha Watu wenye Ualbino…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (21)

Wiki iliyopita sikuzama sana katika mada hii ya kodi. Nawashukuru wasomaji wangu kwa kuendelea kuniletea mrejesho mkubwa katika eneo hili la kodi. Hakika sikufahamu kuwa kumbe watu wengi wana matatizo ya jinsi ya kuanzisha biashara kiasi hiki hadi nilipoanza kuandika…

Serikali, kampuni za simu kusaidia watoto, wanawake

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na kampuni za simu ili kuwasaidia wananchi katika huduma mbalimbali za kijamii zikiwamo za afya, elimu na miundombinu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Vodacom Tanzania Foundation hivi karibuni, Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za…

Pongezi Tumaini Media, eneeni nchi nzima

Ni jambo la kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa hatua iliyofikiwa na Tumaini Media kuanzisha matangazo katika Jiji na Mkoa wa Dodoma. Kupitia Tumaini Media tunapata huduma nyingi za kiroho, kimwili na kijamii, ikiwa ni pamoja na uinjilishaji, kuelimisha umma kuhusu…