Author: Jamhuri
Palipo na upendo kuna maisha
Palipo na upendo kuna maisha. Somo la kwanza katika maisha ni upendo. Somo la kwanza la kiroho ni upendo. Somo la kwanza la familia ni upendo. Somo la kwanza la uongozi ni upendo. Somo la kwanza la mafanikio ni upendo….
MAISHA NI MTIHANI (37)
Wivu unaona tabasamu lako hauoni machozi yako Wivu ni mtihani. Mwenye wivu haonekani mzuri anapokufanya uonekane mbaya. “Baadhi ya watu watakukataa, kwa sababu tu unameremeta sana kuwazidi. Hiyo ni sawa, endelea kumeremeta,” alisema Nandy Hale. Wivu unaona tabasamu lako,…
Istilahi za kisiasa zitumike vema
Mapinduzi, mageuzi na mabadiliko ni baadhi ya istilahi za kisiasa ambazo kiongozi wa siasa anazitumia katika kushawishi na kuhamasisha wanasiasa wenzake na wananchi kufanya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii katika nchi yao. Bayana iliyoko ni kwamba istilahi zote hizi zina…
Yah: Nguvu ya hoja kuwa nguvu ya haja
Nianze na salamu japo si lazima sana kwa kizazi hiki chenye akili nyingi zisizokuwa na matokeo chanya kwa maendeleo ya taifa lao, najua nitalaumiwa sana kwa kauli yangu lakini ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili, nimeamua kusema ili…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (6)
Wiki iliyopita katika sehemu ya tano hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Lile limama lilinichukua likaniangalia kwa makini, likawa linasema: “Kanafanana nasi, umekapata wapi?” Lile litoto likasema: “Nimekaokota huko porini karibu na mpaka wa himaya yetu.” “Sasa unasemaje?” Lile limama likauliza…
SKIIBII kafufuka baada ya kujiua kimuziki
‘Hivi ndivyo mtu mashuhuri hufanya’. Ni jina la wimbo wa msanii wa Nigeria, Abbey Elias, maarufu kama Skiibii Mayana ama Swaggerlee, unaomtambulisha katika soko la muziki nchini humo na pande za dunia kwa sasa. Pamoja na umaarufu ambao umeanza kumvaa…