JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mchechu aibadili sura Dar

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) chini ya Mkurugenzi Mkuu, Nehemia Mchechu limefanikiwa kubadili sura ya jiji la Dar es Salaam kwa kujenga nyumba bora za makazi na biashara. Wakati wananchi walio wengi wamekuwa wakiishi mbali na Jiji la Dar…

Bandari yamliza mfanyakazi miaka 22

Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika kashfa nyingine baada ya kudaiwa kufanya makato makubwa kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi yasiyojulikana yanapelekwa wapi. Edrick Katano ni miongoni mwa wafanyakazi wengi waliokatwa makato yasiyo na maelezo. Kabla…

Uchaguzi wa Marekani ni demokrasia ya kiini macho

KWA muda wa miezi kadha sasa habari kutoka Marekani zimekuwa zikitawaliwa na kinyang’anyiro cha urais. Wagombea wanaowania tiketi za chama wamekuwa wakipambana na kulumbana huku mashabiki wao wakitiana ngumi na kushikana mashati. Mgombea mmoja anasema “Ukinichafulia mkutano wangu nami n’tamwaga…

Barua ya wazi kwa Rais John Magufuli (2)

KAMATA KAMATA NA MAUAJI HOLELA KISANGIRO Mwaka jana, Hashim Shaibu Mgwandila, aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro na kuahidi kuwasaka wahamiaji haramu popote walipo ndani ya Wilaya ya Ngorongoro. Alianzisha operesheni ya kuwasaka katika Tarafa ya Loliondo tu na…

Tumemkosea nini Mungu wetu?

Unaweza usiamini, lakini huu ndio ukweli wenyewe. Tazama hizi picha mbili kwa makini. Nilipoziweka kwenye mitandao ya kijamii, wapo walionitaka niache ‘mzaha’, wakidhani picha na maelezo nilivyoweka vilikuwa vya kuchangamsha baraza! Picha hizi ni za vituo viwili tofauti vinavyotumiwa na…

Macho yanacheka, moyo unalia

Uchaguzi Mkuu wa marudio wa Zanzibar Machi 20, mwezi huu, umepita salama salimini na mgombea urais aliyeshinda ametangazwa na kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambaye ni Dk. Ali Mohamed Shein kutoka  Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni…