JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wanywaji wailalamikia TBL

Wananchi na watumiaji wa bia wamelalamikia hatua ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupandisha bei ya bia kabla hata bajeti ya Serikali haijapitishwa. Tangu Aprili 1, 2016 bei za bia zimepanda kutoka wastani wa Sh 2,300 na kufikia 2,500, huku…

Mwalimu Nyerere alionya haya ya MCC mwaka 1967

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika hotuba yake ya Februari 5, 1967 jijini Dar es Salaam, alieleza athari za nchi kuwa omba-omba. Pia alionya hatari ya kutegemea mataifa makubwa kiuchumi. Sehemu hii ya hotuba inapatikana kwenye kitabu chake…

Wastaafu wanauliza wakuombee kwa Mungu yupi?

Rais wangu pamoja na mimi kutangulia kuliona jua miaka mingi kabla yako, bado wote tumezaliwa Tanganyika na tumeanza kuifahamu dunia tukiwa Tanganyika. Leo tuko hivi tulivyo, wewe ni Rais wangu na mimi ni mtumishi wako nisiyestahili, lakini tuko katika nchi…

Uhuru wa Habari hatarini Kenya

Denis Galava alikuwa mhariri katika gazeti la Nation linalochapishwa kila siku jijini Nairobi.  Hili ni gazeti linalomilikiwa na Kampuni ya Nation Media Group (NMG), pamoja na mengine  yaliyoko Uganda na Tanzania. Mmiliki wake mkuu ni Aga Khan. Moja ya majukumu…

Profesa Baregu amepotosha umma

Kumetolewa matamshi kadha kutoka kwa wanasiasa na hasa wasomi wa vyuo vikuu mara tu baada ya Rais wa Jamhuri kuteua wakuu wa mikoa wapya. Baadhi ya wanasiasa wazoefu hapa nchini, ama kwa kukusudia (deliberately), au kwa kutokujua kwao (sheer ignorance),…

Asante mbabe, Watanzania tumekusikia

“Kujitawala kwa kweli hakuwezekani ikiwa taifa moja linategemea misaada na mikopo ya taifa jingine kwa maendeleo yake. Hata kama pangetokea taifa au mataifa ambayo yako tayari kutupa fedha zote tunazozihitaji kuendesha mipango yetu ya maendeleo, isingekuwa sawa kwa nchi yetu…