JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Pluijm: Misri ni vita

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema anakwenda Misri na timu yake vitani kuisambaratisha Al Ahly ambayo itakuwa mwenyeji wao katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1…

Mkataba TBL balaa

Ni vigumu kupata maneno sahihi ya kutumia yakaeleweka kutokana na janga ambalo watendaji wa Serikali walioshiriki katika majadiliano ya kuibinafsisha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) waliliingiza taifa, kwani mkataba wa TBL ni balaa kubwa kwa nchi, baada ya siri…

Wananchi 3,000 wasotea fidia Mbeya

Wananchi 3,113 wa Mbarali mkoani Mbeya, waliohamishwa kutoka katika vijiji wilayani humo kupisha upanuzi wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kabla ya kupunjwa fidia za maeneo yao, wamesema Serikali imeshindwa kuwalipa fidia licha ya kutathmini upya maeneo yao mwishoni mwa…

Waziri avunja mtandao Bandari

Wiki chache baada ya Gazeti la JAMHURI, kutoa taarifa juu ya viongozi wa Bandari ya Dar es Salaam wanaotajwa kutumia kampuni wanayoimiliki kupata zabuni licha ya kutokuwa na sifa, Serikali imeingilia kati na kuvunja mtandao unaogawa kazi kimizengwe. Tayari Waziri…

Maskini anapopuuza kunyimwa misaada!

Machi 28 mwaka huu, Serikali ya Marekani ilisitisha na kuvunja uhusiano wake na Serikali ya Tanzania katika mambo yote yanayohusu miradi ya mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) kwa kuondoa dola za Kimarekani milioni 472.8 (zaidi ya shilingi trillion 1…

Jaji Mkuu Chande atembelea JAMHURI

Jaji Mkuu wa Tanzania (CJ), Othman Chande (pichani) Ijumaa iliyopita alifanya ziara ya ghafla katika ofisi za Gazeti la JAMHURI zilizoko katika Jengo la Matasalamat Mansion, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Wahariri…