Author: Jamhuri
TARURA Kilimanjaro yatimiza ahadi ya Rais Samia
WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro imekamikisha ujenzi wa barabara ya Kisinane C yenye urefu wa Km. 0.80 kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo ni ahadi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Oktoba 2021…
Mamadi Doumbouya ajipandisha cheo na kuwa Jenerali wa Jeshi Guinea
Rais wa mpito wa Guinea, Mamadi Doumbouya, amejiweka katika hadhi ya juu ya kijeshi kwa kujipandisha cheo kuwa jenerali. Hii ni mara ya pili mwaka huu kwa kiongozi huyo wa utawala wa kijeshi wa CNRD, mwenye umri wa miaka 43,…
Dk Biteko ahimiza upendo, amani na ushirikiano Sengerema
📌Asisitiza wananchi kushiriki Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa kwa amani 📌 Asema Sengerema inahitaji maendeleo na si maneno Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amehimiza…
JOWUTA yataka sheria za kazi kuwalinda wafanyakazi katika vyombo vya habari
UTPC yaomba serikali kuingilia kati Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Singida Chama cha Wafanyakazi katika vyombo vya habari nchini (JOWUTA) kimetaka Serikali kusimamia sheria za kazi kwa wafanyakazi katika vyombo vya habari kama zilivyo sekta nyingine ili waandishi wapate haki na stahiki…
Mauaji ya waandishi yameongezeka duniani kwa asilimia 38, ripoti ya UN yaonyesha
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Utamaduni (UNESCO) imethibitisha kuongezeka kwa mauaji ya waandishi wa habari duniani kwa asilimia 38 katika kipindi cha miaka miwili (2022-2023) ikilinganishwa na miaka miwili kabla yake. Waandishi 162 wameuawa wakiwa kazini,…
Serikali imetekeleza miradi mingi sekta ya afumya – Dk Biteko
📌 Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa Jua 📌 Ahimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitali 📌Ataja mageuzi makubwa yaliyofanywa katika sekta ya afya 📌 Alipongeza Kanisa Katoliki, awashukuru wafadhili wa miradi Na Ofisi…