Author: Jamhuri
NIDA yapewa miezi miwili kusambaza vitambulisho 1.2 vilivyotengenezwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba…
Njama ya mauaji ya Papa ilitibuliwa na ujasusi wa Uingereza
Njama ya kumuua Papa Francis wakati wa safari yake nchini Iraq ilizuiwa kufuatia taarifa kutoka kwa vyombo vya habari vya Uingereza, kulingana na wasifu wake ujao. Papa anasema kwamba, baada ya kutua Baghdad mnamo Machi 2021, aliambiwa kuhusu tukio ambalo…
Watu 14 wafariki kwa ajali, saba wajeruhiwa Morogoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu 14 wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo la abiria majira ya saa 2 usiku eneo la Mikese Mkoani Morogoro. Kwa mujibu…
Trump ashtaki gazeti kwa ‘kuingilia uchaguzi’
Rais mteule Donald Trump ameshtaki gazeti la Des Moines Register, pamoja na kampuni yake mama kwa kuingilia kati uchaguzi juu ya kura ya maoni iliyochapishwa siku chache kabla ya uchaguzi wa rais wa 2024. Kura ya maoni ya Novemba 2…
Mke, mume wafungwa kifungo cha maisha kwa mauaji ya mtoto
Mahakama moja ya Uingereza imetoa hukumu ya kifungo cha maisha kwa baba na mama wa kambo wa mtoto wa miaka 10 raia wa Uingereza mwenye asili ya Kipakistani aliyekufa baada ya kuteswa kwa muda mrefu. Urfan Sharif, mwenye umri wa…
Ubunifu waiongezea Serikali mapato Pori la Akiba Uwanda
Hatua iliyochukuliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ya kuruhusu shughuli za uvuvi endelevu ambazo awali hazikuwa zinafanyika ndani ya Pori la Akiba Uwanda lililopo wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa imekuwa chanzo cha kupungua Kwa ujangili, ongezeko la…