Author: Jamhuri
Ndugu Rais amani ya nchi yetu imetikiswa
Ndugu Rais, mwishoni mwa miaka ya 1960, tungali vijana rijali na wasomi wazuri, wahitimu wa ‘middle school’ shule ya kati, Rais Julius Nyerere alifanya ziara mkoani kwetu – wakati huo ukiitwa Mbeya. Wakati ule ukisema Rais Nyerere ilikuwa inatosha. Utaratibu…
Nane Nane darasa lenye wanafunzi wachache mno
Nimetembelea hivi karibuni maonyesho ya wakulima yaliyoadhimishwa kitaifa Nyakabindi, Simiyu, kilomita 20 kutoka Bariadi. Kwa miaka kadhaa nilidhamiria kuhudhuria maonyesho hayo baada ya kujitumbukiza kwenye kilimo, nikiamini ingekuwa sehemu muhimu ya kujiongezea elimu na maarifa kwenye shughuli ambayo sina uzoefu…
Hasara za kufanya biashara nje ya kampuni
Mfumo wa kufanya biashara wewe kama wewe ni wa zamani mno. Ukisoma hadithi zilizo ndani ya Kurani na Biblia utaona watu wa kale walitumia mfumo huu huu katika biashara zao ambao pia na wao waliukuta. Ni mfumo ambao umezeeka kiuchumi,…
MAISHA NI MTIHANI (41)
Mazoea ni shati lililotengenezwa kwa chuma Mazoea ni mtihani. Mwanzoni mazoea ni kama utando wa buibui, baadaye ni kama nyaya ngumu. Mwanzoni mazoea ni kama shati la pamba, baadaye ni kama shati lililotengenezwa kwa chuma. Shati la namna hiyo…
Shukrani kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Magufuli (1)
Sasa tusaidie wastaafu tunaoambulia Sh laki moja kwa mwezi Agosti 3, 2019, mimi mkongwe mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) nilibahatika kutokea kwenye vyombo vya habari bila ya kutarajia hata kidogo. Nadhani wengi waliona kupitia runinga nikiwa…
Tuwe waungwana baada ya kutimiza wajibu
Binadamu anakula matunda mbalimbali katika mzunguko wa majira ya mwaka, yakiwa ni chakula, kinywaji na tiba katika mwili wake. Baadhi ya matunda hayo ni boga, tikiti na mung’unye. Watanzania wanakula sana matunda haya kujenga siha ya miili yao. Zaidi ya…