JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NINA NDOTO (30)

Ukiwa na ndoto usipige kelele, kaa kimya   Mtu anapokuwa na ndoto mara ya kwanza huwa haipo katika uhalisia, bado inakuwa haijatimilika. Kwa msingi huo, unapokuwa na ndoto, kaa kimya usipige kelele. Mojawapo ya kosa kubwa alilolifanya Yusufu ni kuwaambia…

Mama mkwe wa Naomi alonga

Ni jioni ya saa 11 Jumatatu Agosti 5, 2019. Nipo ofisini. Mara napata simu, namba siifahamu. Mtu huyu ananiambia anataka kuiongezea nyama habari tunayochapisha kuhusiana na mauaji ya Naomi Marijani (36), anayedaiwa kuuawa na mumewe, Hamis (Meshack) Said Luwongo (38)….

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (26)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuhoji hivi: “Je, unaelewa VAT ni nini na inalipwaje? Usikose sehemu ya 26 ya makala hii wiki ijayo.” Leo nashindwa kuanza makala hii bila kutoa pole kwa taifa letu kutokana na msiba mkubwa uliotokea…

Wakulima Kilombero wanufaika na kilimo endelevu

Mfuko wa Wanyamapori Africa (AWF) umesaidia wakulima wa mpunga na kokoa Kilombero kupitia Mradi wa Ukuaji wa Kilimo Shirikishi na Endelevu Kilombero katika kutoa elimu ya mnyororo wa thamani ili kuwa na kilimo chenye tija. Katika mradi huo wa miaka…

Niacheni niseme ukweli japo unagharimu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, amefuta leseni ya umiliki wa kitalu cha Lake Natron East kinachoendeshwa na Kampuni ya Green Mile Safaris (GMS). Kwenye maelezo yake hakuwa na mengi, isipokuwa amenukuu kifungu kwenye Sheria ya Wanyamapori Na….

BANDARI ZA TANZANIA

Lango kuu la biashara za SADC   BANDARI za Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na nyinginezo nchini Tanzania ni lango kuu la biashara kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC); za Malawi, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya…