JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wameitelekeza Clock Tower Dar?

Mpita Njia, maarufu kama MN, ameendelea kufurahishwa na pilikapilika za mapokezi ya wageni wa nchi mbalimbali wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). MN ameshuhudia pilikapilika za usafi katika maeneo ya katikati ya Jiji la…

CHAKAMWATA yapigwa ‘stop’

Shughuli za Chama cha Kutetea Haki na Masilahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA) zimebatilishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na Ajira baada ya  kubaini chama hicho kukosa bodi ya wadhamini. Ofisi ya Msajili imefikia uamuzi huo wakati chama…

Ngorongoro wapinduana

Uongozi wa Baraza la Wafugaji Ngorongoro mkoani Arusha umepinduliwa. Waliochukua hatua hiyo wanawatuhumu viongozi hao kwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za baraza hilo. Uongozi wote wa juu umeondolewa. Walioondolewa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji, Edward…

Ripoti yafichua madudu uuzwaji shamba la KNCU

Uuzwaji wa shamba kubwa la kahawa la Gararagua lililopo Wilaya ya Siha mali ya Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) umedaiwa kugubikwa na madudu mengi, ikiwamo kuuzwa chini ya thamani halisi ya bei ya soko, pamoja na kutokujulikana zilipo…

Mtikisiko ajali ya lori Moro

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameunda timu maalumu kuchunguza tukio la mlipuko wa lori la mafuta ulioua watu 71  na majeruhi 59 kwa mujibu wa takwimu za hadi Jumapili alasiri. Timu hiyo inatarajiwa kukamilisha kazi zake Ijumaa wiki hii na kwa…

SADC ivunje minyororo iliyowekwa na wakoloni

Agosti ya mwaka huu 2019 ni ya kipekee kwa taifa letu. Tumepokea wageni wengi wanaohudhuria Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Fursa za aina hii hujitokeza mara chache, kwa hiyo kila Mtanzania…