Author: Jamhuri
Afrika inahitaji mabingwa wa kusaka umoja
Mwaka 1994 akiwa mgeni rasmi kwenye sherehe iliyofanyika Arusha ya kuvunja Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Mwalimu Julius Nyerere alitoa ujumbe ambao unafaa kurudiwa. Alisema waasisi wa OAU waliokutana jijini Cairo; Mei 1964 walijipangia…
Kuomba kutambuliwa kama mzazi wa mtoto
Wako watu ni wazazi na wamezaa lakini wameyimwa watoto. Zipo sababu nyingi katika jambo hili. Matukio ya namna hii hayawatokei sana wanawake bali wanaume. Ni rahisi na kawaida mno mwanamume kuambiwa na mzazi mwenzake kuwa huyu mtoto si wako hata …
Gamboshi: Mwisho wa dunia (11)
Wiki iliyopita katika sehemu ya 10 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Nilitembea kidogo kisha nikajikuta niko kwenye himaya ya watu wa ajabu. Sielewi sawa sawa kama hawa walikuwa ni watu au la. Nilipelekwa kwenye ghorofa moja na huko nikakuta…
Mbalamwezi alivyoagwa kupitia mitandao ya kijamii
Baada ya kifo cha aliyekuwa msanii nyota wa Bongo Fleva, maarufu kwa jina la Mbalamwezi aliyekuwa anaunda kundi la The Mafik, mastaa mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva nchini wametumia mitandao yao ya kijamii kama Instagram kumuaga nyota mwenzao huyo…
Wanapotea kwa faida ya Simba, Yanga
Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara umefungiliwa rasmi. Sasa, fitina, mizengwe, ujuaji, uamuzi mbovu wa waamuzi, upanguaji wa ratiba na mengi ya kero ndiyo tutakayoanza kuyashuhudia. Msimu uliopita ulimalizika huku kukiwa na malalamiko kadhaa kutoka kwa wadau mbalimbali wa soka,…
JWTZ waombwa DRC
Wananchi wa Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameandamana wakitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lipelekwe nchini humo liwakung’ute waasi wanaoua mamia kwa maelfu ya watu. Bado wananchi wengi wa DRC wanatambua na kuenzi kazi kubwa…