Author: Jamhuri
NINA NDOTO (31)
Hesabu baraka zako Ukiwa na ndoto si kila kitu unachokifanya kitaleta matokeo unayotarajia. Ni jambo jema kuwa na matarajio makubwa, lakini ni vema pia kuwa na moyo wa kustahimili. Moyo wa ustahimilivu ndiyo huwafanya wenye ndoto waendelee kubaki katika…
MAISHA NI MTIHANI (42)
Nani ataomboleza utakapoaga dunia? Kifo ni mtihani. Kuna aliyesema dunia ni mahali pa hatari sana, hautoki ukiwa hai. Hadithi inapokuwa nzuri kwenye gazeti wanaikatisha na kuandika itaendelea toleo lijalo. Mtu anapoaga dunia ni Mungu anakatisha hadithi ya maisha yake,…
SADC imepata ‘chuma’
Jumuiya ya kimataifa pamoja na nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wanasubiri kuona mageuzi makubwa yatakayoletwa na Rais Dk. John Magufuli, ambaye ndiye mwenyekiti mpya wa jumuiya hiyo. Tayari katika hotuba yake ya kukubali majukumu yake…
Maboresho bandari Ziwa Nyasa kunufaisha Ukanda wa SADC
Miradi mbalimbali inayofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika bandari za Ziwa Nyasa, inatazamiwa kuongeza ufanisi maradufu katika uhudumiaji na usafirishaji mizigo. Hatua hiyo inaelezwa kwamba itazinufaisha pia nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika…
Ndugu Rais tulipewa Julius Nyerere lakini hatukumjua aliyetupa
Ndugu Rais, imeandikwa kuwa Yesu Kristo kabla ya kuondoka, aliwaambia wanafunzi wake, “Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu kamwe hayatapita!’’ Miaka zaidi ya 2000 imepita tangu kifo chake, lakini ulimwengu unashuhudia maneno yake yangali yamesimama vilevile nukta kwa mkato…
‘Rais, pensheni yangu Brigedia Jenerali ni 100,000 tu’
Sehemu iliyopita, mwandishi alieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya pensheni, wakongwe wanalipwa fedha kidogo mno. Akasema wakongwe wote wanarundikwa katika kapu au fungu moja la malipo ya uzeeni – na wote wanalipwa Sh100,000 (laki moja) tu kila mwezi bila…