Author: Jamhuri
Nyambui: Tuwekeze kwenye riadha
Kocha wa Riadha wa Timu ya Taifa la Brunei, ambaye pia amepata kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amekishauri Chama cha Riadha kuwekeza nguvu nyingi katika ujenzi wa misingi mizuri kwa watoto wenye vipaji. …
Mapya yamfika Muhongo
Mambo hubadilika ghafla. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, anatarajiwa kuhojiwa na vyombo vya usalama leo kutokana na sakata la mchanga wenye madini. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI zimethibitisha kuwa Prof. Muhongo atahojiwa kuhusiana na ripoti ya…
Kimenuka REA
Baadhi ya kampuni zilizoomba zabuni kwenye Awamu ya Tatu ya Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu II, zimeghushi nyaraka. Mradi huo wenye thamani inayokaribia Sh trilioni moja, unalenga kufikisha umeme wa gridi kwenye vijiji 3,559 katika mikoa 25 ya…
Asotea mafao PPF miaka 15
Stanslaus Mlungu (78), aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na kustaafu kazi Desemba 31, 1991 kutokana na matatizo ya kiafya, amelalamika kwamba ameibwa fedha zake za pensheni na watumishi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF mwaka 1992. Mlungu…
Rais Magufuli ulimchelewesha Muhongo
Mheshimiwa Rais Dk. John Magufuli shikamoo. Leo nakuandikia waraka huu mfupi kupitia safu yangu ya Sitanii. Kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu kukupongeza na kukushukuru kwa hatua ya kudhibiti wizi wa madini yetu na pia kumwondoa aliyekuwa Waziri wa Nishati…
Buriani Mzee Kitwana Selemani Kondo ‘KK’
Jumatano Mei 24, 2017 ni siku ambayo itakumbukwa na Watanzania wengi na hasa Waislamu, kwa kuondokewa na mzee wetu, Alhaj Kitwana Selemani Kondo, maarufu KK au mzee wa mjini. Siku nne kabla ya kifo chake, mwanaye wa kiume, Adnan Kitwana…