JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ukipoteza muda, muda utakupoteza zaidi

Maisha huwa hayana maana iwapo mwanadamu anaishi tu, siku nenda, siku rudi bila ya kugundua au kujifunza japo jambo moja jipya kila siku. Uamkapo asubuhi, utembeapo barabarani, ulalapo kitandani yafaa ujiulize: ‘Unaishi na mawazo yanayoishi au yaliyokufa?’ Maisha ni kufikiri,…

MAISHA NI MTIHANI (43)

Ukiomba mvua usilalamike kuhusu matope   Kulalamika ni mtihani. Unaweza kulalamika kuwa maua aina ya waridi yana miiba au kusifu kuwa miiba ina maua. Kuna mtoto aliyewalalamikia wazazi kuwa hawamnunulii viatu. Aliacha kulalamika alipoona mtu ambaye hana miguu, kuna makundi…

Tusibweteke kwa elimu bure

Julai 3, mwaka 1964 Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alizungumza na watoto katika Ikulu ya Dar es Salaam. Kupitia mazungumzo hayo, alizungumza pia na watoto wote nchini kwa njia ya redio. Aliwaeleza watoto wajibu walionao kwa wakati huo,…

SADC inaweza, twendeni pamoja

Kuundwa kwa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) miaka 27 iliyopita ni kitendo cha ukombozi kwa Mwafrika. Ni ukombozi wa kisiasa, kiuchumi na kitamaduni. Unamtoa katika unyonge na umaskini na kumpeleka katika uwezo wa kuwa tajiri…

Yah: Ugeni umetukumbusha mambo mengi

Japo ni vigumu kukubali maelezo ya sasa kutoka katika kizazi kipya, nina kila sababu ya kuwasimulia maisha halisi ambayo sisi tuliishi kwa wakati wetu, hasa nyakati za nguo moja na sabuni za foleni katika duka la ushirika au la kijiji….

‘Konde Gang’ kuondoka WCB?

Msanii Rajab Abdul Kahali, maarufu kwa jina la ‘Harmonize, hatimaye ameandika rasmi kwa kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) akitaka kuvunja mkataba wake na kuanza maisha mengine nje ya lebo hiyo. Akizungumza na runinga ya Wasafi, Ofisa Mtendaji Mkuu wa…