Author: Jamhuri
Kushangilia wanaotuumiza ni kukosa uzalendo kwa nchi
Hadi tunakwenda mitamboni, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ilikuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini kutokana na amri ya mahakama. Sababu za kukamatwa kwa ndege hiyo bado hazijawekwa bayana, japo kuna maelezo kuwa hatua hiyo imetokana na serikali yetu kudaiwa….
NINA NDOTO (32)
Jifunze kuamka mapema “Kama una ndoto ya kuajiriwa, usilale hadi saa moja.” alisema Ruge Mutahaba akiwa mkoani Mbeya katika fursa mwaka 2017. Linaweza kusikika kama jambo geni, lakini watu waliofanikiwa kwenye sekta mbalimbali ni watu waliojijengea tabia ya kuamka mapema….
NMB yazidi kumwaga mamilioni sekta ya elimu
Benki ya NMB imekwisha kutoa kiasi cha zaidi ya Sh milioni 570 hadi sasa kati ya Sh bilioni 1 ilizotenga kama uwajibikaji wake kwa jamii kwa mwaka huu wa 2019. Kiasi hicho kimetumika zaidi kusaidia miradi mbalimbali ya kijamii kama…
HOTUBA YA MHESHIMIWA DK. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUFUNGA MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI WA SADC DAR ES SALAAM, TAREHE 18 AGOSTI, 2019
Naomba nianze kwa kutoa taarifa. Jana, baada ya kusoma sehemu ya hotuba yangu ya ukaribisho kwa kugha ya Kiswahili; Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walifurahi na kuvutiwa sana. Hivyo basi, tulipokwenda tu kwenye mkutano wetu wa ndani, wote…
Maendeleo Bukombe yanavyokimbia (1)
Bukombe ni moja ya wilaya zinazopatikana katika Mkoa wa Geita. Wilaya hii inakadiriwa kuwa na ukubwa wa kilometa za mraba 8,055.59 huku asilimia 21.9 likiwa ni eneo la makazi (km. 1,766.59), eneo linalobaki ambalo ni kilometa za mraba 6,289 ni…
Bandari Mtwara mlango muhimu SADC
SERIKALI ya Tanzania imekuwa ikiboresha bandari nchini kote ikilenga kurahisisha huduma za usafirishaji wa majini kwa ajili ya Watanzania na nchi nyingine zinazotumia bandari za Tanzania. Moja ya bandari ambayo inaboreshwa kwa kiwango kikubwa ikiwa ni pamoja na kujengwa gati…