JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yah: Mtu akibaki kimya ni vigumu kuelewa uwezo wake wa kutafakari mambo

Huwa napenda sana kuingia katika vikundi vya watu vinavyojadili hoja mbalimbali za siasa, michezo, jamii na utamaduni. Kuna wakati pia huwa najihusisha hata katika makundi yanayofanya majadiliano ya utani ili niweze kucheka. Mtu akibaki kimya ni vigumu kuelewa uwezo wake…

Kuporomoka maadili nini chanzo? (2)

Wazazi wengi wanaishia tu kwenye hatua ya kuzaa, hawaendelei na hatua ya kulea. Hapo tulio wengi tunachemka. Methali ya Kiswahili yatuambia hivi; ‘Kulea mimba si kazi, kazi ni kulea mwana’.  Wapo wazazi wanaojiita ni wazazi lakini hawatambui wajibu wao kama…

Ndugu Rais, tutakuombea utakapokuwa tayari!

Ndugu Rais, vitabu vyote vitakatifu vimeandika habari za Nabii Musa. Mwenyezi Mungu alipomwita kwenye kichaka kilichokuwa kikiwaka moto alimwambia: “Musa, hapo ulipo ni mahali patakatifu, vua viatu vyako!” Mafundisho ni mengi kutokana na tukio hilo, lakini hapa pia tunafundishwa kuwa…

Misri imebeba hatma ya Stars AFCON

Jumatano ya wiki iliyopita, Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, alitaja kikosi cha wachezaji 26 kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi dhidi ya Kenya pamoja na ile ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika…

JPM majaribuni

Sakata la sukari likiwa halijatulia, wafanyabiashara wakubwa wanatajwa kujipanga kumtikisa Rais John Magufuli, kwa kuhakikisha mafuta ya kula yanaadimika nchini. Tofauti na kwenye sukari, uhaba wa mafuta umepangwa mahsusi ili kujenga ushawishi wa wao kuendelea kuingiza mafuta ya kula ya…

Waliotafuna Sh bilioni 6 watamba mitaani Moshi

Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini, Dk. Audax Rutabanzibwa, kwa miaka mitano sasa, ama ameshindwa, au amepuuza kuandaa mashitaka dhidi ya viongozi wa Chama cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha Wazalendo cha mjini Moshi wanaotuhumiwa kuiba Sh bilioni 6. Miongoni…