Author: Jamhuri
Watanzania tuchukue hatua…
Wizara ya Nishati ya Kenya imepiga marufuku gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia nchini humo. Upigaji marufuku huo umefanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati ya Kenya, mwezi Aprili mwaka huu. Uamuzi huu wa Kenya ni kinyume na misingi…
Mtoto ni malezi, tutoe malezi bora
Mwanafalsafa William Arthur Ward anasema; Shukrani inaweza kubadili siku za kawaida kuwa siku za shukrani, kubadili kazi za kila siku kuwa furaha, na kubadili fursa za kawaida kuwa baraka. Leo ninaomba nizungumzie makuzi na malezi bora kwa watoto. Katika dunia…
Kuna mambo hayakwenda sawa, vyema yanaanza kurekebishwa
Kuna mambo nadhani ni mhemko wa utandawizi (mnaitaga utandawazi) au ujinga tu wa kuiga wazungu tuliyapokea na kuyafanya ndio utamaduni wetu na hata kuyatungia sheria bila tafakari ya kina! Na ilikuwa mtu ukiyatolea maoni tofauti unaonekana wewe wakuja au hamnazo!…
Yah: Umiliki wa mashamba na majengo ya walalahoi uzingatiwe
Nimesikia matangazo ya watu mbalimbali, kila mtu akinadi kile anachokijua, sasa ni kama nimevurugwa na akili yangu haifanyi kazi ipasavyo kutokana na matangazo hayo ya wananchi wenye kunena kwa niaba ya Serikali, huku wakijua wazi kwamba hawana mamlaka ya kunadi…
BAKWATA inasikitishwa
“BAKWATA kwa niaba ya Waislamu wote, inalaani mauaji yote yanayotokea mkoani Pwani, na kutoa wito kwa Waislamu kukaa mbali na makundi yanayojihusisha na mauaji haya. “Tumesikitishwa sana na vitendo hivi vyenye viashiria vya kutaka kuchafua sifa nzuri za nchi yetu kuwa…
Baadhi ya mila na desturi tunazozitupa zina manufaa kwa jamii
Jambo moja la msingi linalopambanua binadamu ni mila zao. Wanaweza kufanana kwa mwonekano, lakini utawatofautisha kwa mila na desturi zao. Nimeyawaza hayo baada ya kusikia hivi karibuni taarifa kuwa, kwa mara ya kwanza, seneta mwanamke nchini Australia amekuwa mbunge wa…