Author: Jamhuri
Kila upande hautaki kusikia haya!
Leo naandika Sitanii ngumu. Ni ngumu kwa misingi kwamba kila atakayesoma makala hii ya leo, kuna mambo ataburudika hadi atamani kunipigia simu ya pongezi, lakini pia, kuna mambo atasoma kama si mvumilivu, atatamani kunipigia simu kunitukana. Nitatahakiki suala hili la…
Uhamiaji watoa pasipoti kinyemela
Idara ya Uhamiaji imeanza uchunguzi kuwapata watumishi wake walioshiriki kumpa hati ya kusafiria, Mkurugenzi wa shirika lisilo la serikali (NGO) la Pastoral Women Council (PWC), Maanda Ngoitiko, anayedaiwa kuwa ni raia wa Kenya. Shirika hilo linaloendesha shughuli zake Ngorongoro mkoani…
Ndugu Rais watoto wasiandaliwe vitabu-sumu vingine
Ndugu Rais, Watanzania wanapaswa kumshukuru Mungu kumpata rais anayethubutu. Katika kipindi kifupi umegusa mambo mengi yenye uzito mkubwa ambao wenzako wasingethubutu! Hata kama hutafanikisha, lakini historia itasema huyu alithubutu! Kwa makaburi uliokwishafukua mpaka sasa, nani mwingine angeweza? Wakati unaendelea na…
Wakati wa vijana kugeukia kilimo
Serikali imeombwa kujenga mfumo mzuri utakaowawezesha vijana kujiunga katika vikundi vya uzalishaji ili wawe na uwezo wa kukopesheka katika taasisi zinazotoa mikopo na kujiajiri katika miradi ya kilimo. Akizungumza na JAMHURI Mkuu wa kitengo cha utafiti wa taasisi ya Well…
Walivyosema kuhusu Paulo Sozigwa
Baada ya kusomwa makala zangu, watu wengi wameniletea ujumbe kwa simu ya kiganja na kwa ujumbe mfupi wa maandishi (sms). Kwa vile niko wodini hoi hapa Lugalo sikuruhusiwa kuongea na simu ila mjukuu wangu Max Mchola alikuwa ananiarifu nani kanipigia…
Tumuunge mkono Waziri Mkuu Majaliwa
Akiahirisha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julai 5, mwaka huu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, pamoja na mambo mengine, alizungumzia sekta ya wanyamapori. Kwa wahifadhi wengi, kauli ya Waziri Mkuu imewapa matumaini mapya…