Author: Jamhuri
Mapito ya bosi mpya Usalama wa Taifa
Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) imempata bosi mpya, Diwani Athumani Msuya, ambaye wiki iliyopita aliteuliwa na kuapishwa na Rais John Magufuli kushika wadhifa wa Mkurugenzi Mkuu wa idara hiyo. Kabla ya uteuzi huo, Kamishna Msuya alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa…
TPA: Bandari Ziwa Nyasa chachu ya maendeleo Kusini
Katika makala ya leo tutaona jinsi Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) jinsi inavyoweka mazingira wezeshi kibiashara na kuboresha…
Luwongo alilia hati ya mashitaka
Khamisi Luwongo (Meshack) mwenye umri wa miaka 38, mtuhumiwa wa mauaji ya kuua na kumchoma moto mke wake, Naomi Marijani, ameendelea kufanya vituko mahakamani. Vituko hivyo vilianza baada ya Wakili wa Serikali, Simon Wakyo, kuiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,…
Tuache unafiki kuhusu haki za wanawake
Kumbe muda wote nilikuwa sikielewi kile kinachoongelewa kuhusu haki za kina mama, nimekuwa nikijiuliza ni kitu gani kinachoitwa haki za wanawake? Muda wote nimejiuliza ni haki gani zinazodaiwa na wanawake? Sikupata jibu! Sababu niliamini kwamba wanawake wanapata haki zao kulingana na…
Haijapata kutokea!
Ule usemi kuwa ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni nadhani una mantiki. Duniani mishangao inatokea kila leo. Nani alifikiria mwanasiasa kama Nape Nnauye atakuja kuomba msamaha? Kwa kosa lipi? Na kwa dhamira gani? Mimi nilipigwa butwaa pale jioni Jumanne ya…
Tusilazimishwe kumshutumu Robert Gabriel Mugabe
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amefariki akiwa na umri wa miaka 95. Alisemwa na atasemwa sana, si kwa mema ila kwa mabaya. Nianze na mabaya yake. Aliongoza Zimbabwe kuanzia mwaka 1980 baada ya uhuru wa nchi hiyo akiwa amerithi uchumi…