JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Adanganya apate hati ya kifo

Juliana Philipo, mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam, amedanganya katika Kituo cha Polisi  Kigamboni ili asaidiwe kupata hati ya kifo cha ‘mumewe’. Aliwaambia polisi kwamba amepoteza kibali kilichotumika kusafirisha mwili wa mzazi mwenzake, Charles Reuben, aliyefariki dunia Julai 28,…

TRA Kilimanjaro kunadi magari

Magari tisa na pikipiki saba yaliyokamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kilimanjaro yakisafirisha bidhaa za magendo kati ya Tanzania na Kenya yatauzwa kwa njia ya mnada baada ya serikali kuyataifisha. Miongoni mwa magari hayo limo linalodaiwa kumilikiwa na…

Ustawi wa Jamii yawalipia wagonjwa Muhimbili

Wagonjwa zaidi ya saba waliokuwa wanadaiwa bili za matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamesaidiwa kulipa bili hizo na Idara ya Ustawi wa Jamii. “Jamani ninawaombeni msaada, nisaidieni mimi ni mkulima wa mahindi na muuza mahindi ya kuchoma tu,…

Diwani sahihisha ya Kipilimba

Wiki iliyopita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, amefanya mabadiliko katika Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). Amemuondoa Mkurugenzi Mkuu, Modest Kipilimba na kumteua aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Diwani…

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(35)‌

Imesemwa‌ ‌mara‌ ‌nyingi‌ ‌kwamba‌ ‌afya‌ ‌ni‌ ‌mtaji.‌ ‌Unapokuwa‌ ‌na‌ ‌ndoto‌ ‌kuwa‌ ‌na‌ ‌afya‌ ‌njema‌ ‌ni‌ ‌jambo‌ ‌la‌ ‌tija sana.‌ ‌ Usipokuwa‌ ‌na‌ ‌afya‌ ‌njema‌ ‌mara‌ ‌nyingi‌ ‌utatumia‌ ‌muda‌ ‌mrefu‌ ‌kuboresha‌ ‌afya‌ ‌yako‌ ‌kuliko‌ ‌kufanyia‌ ‌kazi ‌zako.‌ ‌ Ndoto‌ ‌huhitaji‌ ‌mtu‌…

Kisarawe imefanikiwa kudhibiti vifo

Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani imepunguza idadi ya vifo vya kina mama wajawazito kutoka vifo 9 hadi 1 kwa mwaka. Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kisarawe, Glason Mlamba, amesema mafanikio hayo yamepatikana baada ya kuona vifo vinaongezeka, wakaanza…