Author: Jamhuri
Lukuvi aweka historia
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amevunja historia katika kutatua migogoro ya ardhi nchini na zamu hii ametumia zaidi ya saa 20 kusikiliza kero za wananchi akiwa ofisini Dar es Salaam. JAMHURI limemshuhudia Lukuvi siku ya…
Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kuwakwamua wanyonge
Ugonjwa wa moyo umeendelea kuwa tishio nchini, licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali na wadau wa afya kutoa elimu kwa wananchi juu ya namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ni miongoni mwa taasisi…
Wananchi walilia sekondari yao
Wananchi wa Kata ya Makata, wameulaumu uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi kwa kutelekeza mradi wa ujenzi wa Sekondari ya Wasichana Makata ambao ulitakiwa kukamilika miaka mitano iliyopita, JAMHURI limebaini. Kukwama kwa mradi huo kumetokana na kupotea…
Rubani wa Precision Air atuzwe
Wiki iliyopita rubani wa ndege ya Shirika la Precision inayoruka kutoka Nairobi kuja Dar es Salaam, Rizwan Remtura amelifanyia taifa letu kazi ya kupigiwa mfano. Rubani huyo amefanya tukio ambalo hakuna aliyepata kuliwaza na ni tukio ambalo likitazamwa kwa mapana…
Serikali yampatia tuzo Dk. Jane Goodall
Huwezi kuzungumzia kuhusu Hifadhi za Taifa za Gombe, pamoja na ile ya Milima ya Mahale, bila kutaja jina la Dk. Jane Goodall, ambaye ametumia miaka zaidi ya 57 katika kutafiti maisha na tabia za sokwe. Katika kutambua jitihada zake, Serikali…
Bandari yaboresha huduma
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeanza kuwa na mabadiliko makubwa ya kiutendaji katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Katika kudadisi hilo, Mwandishi Maalum amefanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko yanayobainisha hatua baada ya nyingine juu…