JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nchi ilivyochezewa

Serikali ya Awamu ya Nne kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, ilibariki kampuni ya bilionea wa Kimarekani ya Wengert Windrose Safaris Tanzania Limited, kupewa uwekezaji wa kimkakati, kupitia vitalu vya uwindaji inavyomiliki, kikiwamo kimoja isichokimiliki kisheria. Agosti 20, mwaka jana,…

Kashfa ya nyumba NIC

Shirika la Bima la Taifa (NIC) limeingia katika kashfa ya kuhujumu mali za shirika hilo, ikiwamo ya kuuza nyumba bila kuzingatia maagizo yaliyotolewa na Serikali Oktoba, 2009. Nyumba zilizopangishwa kwa wafanyakazi wa Shirika hilo zilizoko eneo la Kijitonyama jijini Dar…

Uhamiaji Dar ni aibu

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam inatuhumiwa kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni zinazosimamia idara hiyo, huku Kamishna wa Idara hiyo, Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, akibebeshwa mzigo. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umethibitisha pasi na…

Tusiibeze bajeti, tusiishangilie

Juni 9, mwaka huu, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, aliwasilisha bajeti ya Serikali bungeni kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Bajeti hii imeficha siri nzito yenye mwelekeo wa kuliondoa Taifa letu katika aibu ya kuwa ombaomba. Ni kweli,…

Bajeti irekebishwe

Wiki iliyopita, Serikali imewasilisha bajeti yake bungeni. Bajeti hii imetangaza maeneo mengi ya kuboresha uchumi wa nchi hii.  Imetangaza uwekezaji mkubwa katika reli, ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara za kisasa, ununuzi wa meli, kuweka mazingira bora ya uwekezaji, upimaji…

Tunaposubiri machafuko ili tunyooshe mambo

Mwaka 1953 nilikuwa mwanafunzi wa darasa la kumi, miaka hii ni kidato cha nne, nilikuwa nasoma Shule ya Sekondari ya Chidya, wilayani Masasi, Kusini Tanzania (Tanganyika enzi hizo). Shule ya Chidya ilikuwa shule ya kwanza ya sekondari Kusini Tanganyika. Ilianzishwa…