JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Anahitajika ‘Steven Wasira’ mwingine

Mengi yanazungumzwa. Yanailenga Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dk. John Magufuli. Mengine yanalilenga Bunge na hapa anaguswa Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson. Haya si mambo ya kuachwa au kupuuzwa. Kuna majibu yanahitajika. Majibu yanaweza yakawa ya faragha, au…

Yah: Uhuru wa kidemokrasia na siasa za kila kuongea

Kuna wakati huwa nakumbuka hotuba fupi ya aliyewahi kuwa Mheshimiwa Rais wa Uganda enzi hizo, Idi Amin Dada, aliyesema Uganda ina demokrasia ya kuongea utakacho lakini baada ya demokrasia hiyo hujui nini kinachoendelea. Wengi tulimjua huyu bwana kwa ujuha wake,…

Elimu na ubora wetu

“Kutengana na umaskini ni hali iliyo njema sana; na uchache wa afya kuwa katika mwili ni mashaka ambayo hayana mfano. Ubora wa ukubwa na rafiki katika Mahakama haulingani na kitu kingine chochote, na hata hushinda fedha iliyomo mfukoni ambayo haiwezi…

Wajibu wa Serikali yetu kugharimia elimu ya uraia

Mshirika mmoja wa mkutano wa uzinduzi wa kitabu kiitwacho Insha Tatu za Kifalsafa za Mwalimu Nyerere amerusha kombora zito dhidi ya wasomi na mijadala yao ya kisomi. Mama Anna Mwansasu alihoji desturi ya wasomi kuandaa mikutano kujadili masuala mbalimbali muhimu…

Atuzwa kwa kuisumbua Serikali (2)

Sehemu iliyopita, viongozi wawili katika Tarafa ya Loliondo waliandika waraka kupinga hatua ya Maanda Ngoitiko ambaye ni kiongozi wa asasi ya Pastoral Women Council (PWC), kupewa tuzo ya Front Line Defenders Award for Human Rights inayotolewa na Shirika la The…

Je siasa inamaliza soka la Tanzania?

Wiki iliyopita, Serikali ilisitisha kufanyika kwa mashindano ya vijana ya Umoja wa Michezo ya Shule za Msingi (Umitashumta) na ule wa shule za sekondari (Umisseta). Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene, alitoa kauli hiyo kusitisha rasmi baada ya…