JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Michezo chanzo kikuu ajira

NA MICHAEL SARUNGI Serikali inaandaa mikakati mahsusi ya kuhakikisha sekta ya michezo nchini inakuwa moja ya vyanzo vya ajira na mapato kwa vijana. Akizungumza na JAMHURI baada ya kukabidhi bendera kwa Timu ya Taifa ya Riadha inayoshiriki mashindano ya riadha…

Magufuli awanyoosha

*Sasa aanza kutumbua mawakala wa ushuru *MaxMalipo na wenzake awapeperushia njiwa   NA MICHAEL SARUNGI   Baada ya kuwanyoosha watumishi wa umma wa Serikali Kuu, Rais John Magufuli sasa ameingia kwenye “ushoroba” wa wazabuni, ambao wamekuwa wakipata malipo yasiyolinga na…

CUF wabemenda demokrasia

Na Thobias Mwanakatwe   MGOGORO wa kiasiasa unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) umedhihiriha jinsi viongozi wanavyofinyanga sharia na demokrasia ya vyama vingi ilivyo na mwendo mrefu kabla ya kufikiwa. Chama hicho ambacho ni cha tatu kwa ukubwa nchini,…

Lipumba anachoma nyumba aliyomo!

Naandika makala hii nikiwa hapa jijini Tanga. Nashiriki mkatano wa mwaka wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na wanahabari. Nimepata fursa ya kutembelea Hifadhi ya Msitu wa Amani. Msitu huu ulioko Muheza ni wa aina yake. Msitu uko kwenye…

Ijue teknolojia ya kufundisha kusoma

GraphoGame (GG) au GrafoGemu kwa Kiswahili, ni mchezo unaotumia teknolojia rahisi ambao ulibuniwa na timu ya utafiti ya Chuo Kikuu cha Jyvaskyla cha nchini Finland chini ya usimamizi na uongozi wa Profesa Heikki Lyytinen. Japokuwa mchezo wa GrafoGemu ulianza katika…

TCU itulie, isichezee elimu

Na Mwandishi Maalum, Arusha   Kwa wiki yote iliyopita habari iliyogusa wengi katika sekta ya elimu ni ile iliyohusu kuzuiwa kwa vyuo 19 vinavyotoa elimu ya juu (vyuo vikuu) na baadhi ya vyuo kuzuiliwa kudahili wanafunzi katika baadhi ya kozi…