JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(37)‌

Wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda   Wivu ni hali ya kutofurahia kwa kumuona mwenzio akiwa na mtu au kitu. Wivu ni hisia yenye nguvu inayoweza kumfanya mtu ahisi hangaiko, huzuni au awe na hasira. Waswahili wamelipa neno ‘wivu’ majina mengine…

Hongera Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amejipambanua kama mmoja wa viongozi hodari wanaofuatilia kwa karibu utendaji kazi wa watumishi wa umma. Wengi watakubali kuwa waziri mkuu kila alipofika ameleta mtikisiko kwa viongozi wazembe, wala rushwa, wabadhirifu na wasiowajibika kwa mujibu wa miongozo,…

Tuitumie SADC tusonge mbele

Nianze mada hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye sina wa kumfananisha naye kwa kutujalia zawadi ya uhai na kwa mema mengi anayotujalia kila siku. Kipekee namshukuru Mungu kwa kuwezesha Kikao cha Kawaida cha 39 kwa nchi wanachama 16 wa Jumuiya…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (30)

Wiki mbili zilizopita nilihitimisha makala hii katika sehemu ya 29 kwa kuhoji hivi: “Kwa upande wa kodi za serikali kuu, makala hii inakomea hapa, isipokuwa nitagusia ushuru, stempu, kodi ya michezo ya kubahatisha na Ushuru wa Stempu ya Elektroniki. Hadi…

MIAKA 60 NGORONGORO

NCAA yawezesha kina mama wajasiriamali   Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeanzishwa kisheria kama eneo la matumizi mseto ya ardhi ikiwa na dhima tatu kuu. Dhima hizo ni Uhifadhi wa maliasili katika Eneo la Hifadhi; Kuendeleza wenyeji na shughuli zao…

Uvuvi bahari kuu bado tatizo Tanzania

Wakati serikali ikiwa na takwimu za samaki kwenye maziwa, hali ni tofauti kwenye eneo la bahari kuu ambako sensa haijafanyika ili kutambua rasilimali hizo ambazo tangu Tanzania ipate uhuru hazijawahi kuvunwa wala kutambuliwa kwa idadi halisi. Katika kikao kazi baina…