JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Muswada wa ATI unahitaji maboresho

Muswada wa Haki ya Kupata Habari (ATI) uliowasilishwa bungeni wiki iliyopita umeboreshwa kwa kuulinganisha na miswada iliyotangulia awali, ila umebaki na makosa ya msingi yanayopaswa kufanyiwa marekebisho kabla ya kupitishwa bungeni, wadau wa habari wameshauri. Uchambuzi uliofanywa na wadau wa…

Uingereza, Marekani zijitathimini

Wiki iliyopita Taifa la Uingereza limepiga kura ya kujiondoa kwenye Umoja wa Jumuiya ya Ulaya (EU). Hoja zilizotumiwa na wahafidhina kufikia uamuzi huo ni kwamba wageni wengi wanaingia nchini Uingereza na hivyo kuchukua nafasi zao za ajira. Suala jingine wanasema…

Tanzania tumefikishwa mahali pabaya

Kama tujuavyo, jina Tanzania lina maana mbili. Kwanza Tanzania ni Taifa, na Taifa ni jamii ya watu huru walio chini ya utawala mmoja.  Hapa tutaendelea kuwashukuru Mwalimu Julius Kabarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume walioongoza kwa usalama juhudi za…

Wananchi waipongeza JWTZ

Baada ya gazeti hili la JAMHURI kuchapisha habari kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesambaza askari wake nchi nzima kuimarisha usalama na kupambana na baadhi ya watu waliotaka kulitia doa Taifa la Tanzania kwa kufanya mauaji ya…

Ndugu Rais tengua kauli yako

Ndugu Rais, tumwombe Mwenyezi Mungu atufundishe kunyamaza kwa sababu katika kunyamaza kuna kutafakari ili tusije tukamuudhi Muumba wetu katika kujibu.  Hakuna hata mmoja kati yetu aliyeomba azaliwe katika nchi hii. Tumekutana hapa kwa mapenzi ya Mungu mwenyewe tu. Hivyo, hakuna…

Tuzo ya Mo Ibrahim kaa la moto kwa viongozi wa Afrika

Wakati Bara la Afrika likiwaaga marais wastaafu watatu mwaka jana katika vipindi tofauti, kulikuwa na matarajio kwamba pengine mmoja miongoni mwa marais hao wastaafu angeweza kuondoka na tuzo ya Mo Ibrahim, hali imekuwa kinyume chake. Marais hao watatu waliostaafu kwa…