JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kijijini sema baba yako mjinga uone cha moto

Demokrasia ni dhana nzuri sana pale ambako wote tunakubaliana juu ya maana na mipaka yake. Tatizo ni kuwa si wakati wote huwa tunaafikiana juu ya maana na mipaka yake. Nguzo moja ya kulinda na kujenga demokrasia ni uhuru wa raia…

Timu za zamani zirejeshwe?

Walau sasa sura ya utaifa katika Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza kuonekana, kutokana na kila kanda kuwakilisha timu zao kutoka kwenye mikoa husika. Katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, ni minane tu yenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu, mingi ikiwa na…

Wingu zito

Watanzania wanaotegemea usafiri wa meli katika maziwa ya Victoria, Nyasa na Kigoma wako njia panda baada ya meli karibu zote zilizokuwa zinafanya kazi kuharibika.  Ukiacha meli kuharibika, wafanyakazi wa Kampuni ya  Marine Services Co. LTD (MSCL), inayoendesha huduma za usafiri…

Ripoti ya Warioba ya Rushwa inatisha

Mwaka huu, Tanzania inaye Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli. Rais Magufuli, ameonyesha nia ya dhati ya kupambana na vitendo vya rushwa nchini, na hasa baada ya kuanzisha rasmi mchakato wa Mahakama ya Mafisadi kwa kuitengea bajeti…

Mahale kuboresha miundombinu

Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale itatumia kiasi cha Sh. bilioni 1.2 katika kuboresha miundombinu ya barabara, ili watalii waweze kuifikia hifadhi hiyo kwa urahisi kuliko hali ilivyo sasa. Akizungumza na JAMHURI, Kaimu Mhifadhi wa Hifadhi hiyo, Gadiel Moshi,…

Wananchi waipongeza JWTZ

Baada ya gazeti hili la JAMHURI kuchapisha habari kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesambaza askari wake nchi nzima kuimarisha usalama na kupambana na baadhi ya watu waliotaka kulitia doa Taifa la Tanzania kwa kufanya mauaji ya…