Author: Jamhuri
Mbakaji afungwa miaka 60 Siha
Mahakama ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela mkazi wa Kijiji cha Lawate wilayani humo kwa makosa mawili ya kubaka na kumwingilia kinyume cha maumbile mwanamke (jina tunalihifadhi). Hukumu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na…
Kamanda aliyemtetea polisi ‘mwizi’ ang’olewa Bandari
Utetezi uliofanywa na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Bandari, SACP Robert Mayala, dhidi ya polisi anayetuhumiwa kuiba kofia ngumu ya pikipiki bandarini, umemponza. Mayapa alijitokeza kumtetea PC Stephen Shawa, anayetuhumiwa kujihusisha na wizi huo licha ya kamera za usalama kurekodi…
Matajiri Afrika wanavyotekwa
Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji, maarufu kama Mo, limeitikisa Tanzania, lakini si jipya kwa mwaka huu barani Afrika. Mo ni tajiri mkubwa wa saba barani Afrika kutekwa tangu mwaka 2018 ulipoanza. Matukio mengine ya namna hiyo yametokea nchini…
Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (2)
Wiki iliyopita niliandika sehemu ya kwanza ya makala hii nikieleza dalili ninazoziona kuwa mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Amolo Odinga, anakuwa Rais wa Kenya mwaka 2021. Odinga ambaye Wakenya wengi wanamwita “Baba”, amefahamika na kuwa kipenzi cha karibu makabila yote…
Mwalimu Kambarage pumzika kwa amani
Oktoba 14, mwaka huu imeangukia siku ya Bwana, yaani Dominika – Jumapili. Imekuwa sasa ni kawaida kwa kila mwaka siku hii Tanzania tuna mapumziko ya kitaifa kumuenzi Baba wa Taifa. Karibu kila gazeti hutoa toleo maalumu la kumbukumbu ya Baba…
Ndugu Rais hakuna makali yasiyo na ncha
Ndugu Rais nimesema mara zote, ‘nchi yangu kwanza’. Hii ndiyo imani yangu ya jana, leo na siku zote. Nitaililia nchi yangu kwa nguvu zangu zote na kuwalilia maskini wa nchi hii bila kuchoka, ndiyo, nitajililia na mimi mwenyewe mpaka siku…