JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tusisahau historia hii (3)

Sehemu ya pili ya makala hii, mwanishi alisema huko Ulaya kuna kasoro chungu nzima. Nchi zao katika Umoja wa Ulaya (EU) bado kuna mitazamo tofauti na ya kibinafsi na ndiyo sababu Uingereza imefanya kura ya maoni ya kujitoa katika Umoja…

Waziri Mkuu iokoe Loliondo

Aprili 2013, kupitia safu hii, niliandika makala ndefu iliyosema: “Bila kudhibiti NGOs, Loliondo haitatulia”. Makala hiyo ipo kwenye mitandao mbalimbali. Kuandika masuala ya Loliondo kunahitaji ujasiri. Mosi, lazima mwandishi akubali kutukanwa. Sharti awe tayari kutishiwa maisha kwa sababu maandiko yake…

Nia njema, gubiko la demokrasia nchini

Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi wa kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima wa maisha ya jamii hiyo.  Demokrasia ni mfumo wa kuendesha Serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu. Sheria ni kanuni…

Yah: Uteuzi wa viongozi wa awamu ya tano ni hapa kazi tu

Moja kati ya misingi ninayoamini mimi ni kwamba utumishi wa umma ni thamani na siyo utumishi wa moja kwa moja au kurithi. Mimi ni muumini wa demokrasia ya uongozi wa Taifa kwa maana ya kila mwenye uwezo apate nafasi alitumikie…

Bandari Dar balaa

Uongozi mpya wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) unahitaji kufanya kazi ya ziada kudhibiti mapato kwani maafisa wengi walioajiriwa katika Bandari mbalimbali nchini wana mbinu chafu za kutisha zinazoikosesha nchi mapato. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kwa makusudi baadhi…

Ripoti ya Warioba ya Rushwa inatisha (2)

Katika sehemu ya kwanza ya ripoti hii, tulikuletea hadidu rejea alizopewa Jaji Joseph Warioba na wajumbe wenzake wa Tume ya Kuchunguza Kero ya Rushwa Nchini na sehemu ya vyombo vya dola vilivyotajwa kuwa wanakula rushwa. Katika sehemu ya pili leo,…