JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tusisahau historia hii (4)

Kwa wale wazee wenzangu nadhani kama bado wanakumbuka vile vijarida vya Sauti ya TANU, vilikuwa vinatuhabarisha mengi siku zile. Kwa mfano Sauti ya TANU na. 18 ya Desemba 16, 1957 ibara ile ya 5 Mwalimu Nyerere alisema wazi wazi kwa…

Boris: Waziri mwenye kauli tata

Siku chache baada ya Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Theresa May, kutangaza Baraza jipya la Mawaziri, amewaacha watu wengi na mshangao kwa kumteua Boris Johson kuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Ikumbukwe kuwa Johnson ndiye aliyekuwa kiongozi wa kampeni kuelekea…

Serikali iwekeze katika soka

Wafuatiliaji wengi wa soka la hapa nyumbani, watakubaliana nami kuwa makocha wengi wa hapa nyumbani walioanza kufundisha soka kwenye miaka ya 1980 hadi sasa, wengi wao walipata mafunzo ya mchezo huo nje ya nchi. Hawa ni akina Sunday Kayuni, Charles…

Kimenuka Bandari

Bandari ya Dar es Salaam inapoteza wastani wa Sh bilioni 200 kwa mwaka kutokana na mtandao wa wizi ‘unaouza kazi’ na vyanzo vya mapato kwa wafanyabiashara binafsi. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI unaonyesha nyaraka mbalimbali zilizopelekwa kwa wakubwa zimeorodhesha majina, mtandao…

Uongozi mbovu unachochea rushwa

Wiki iliyopita tulichapisha sehemu ya pili ya Ripoti ya Rushwa ya Jaji Warioba. Pamoja na mambo mengine, iligusia ukaribu wa viongozi kwa wafanyabiashara nchini ulivyochochea ukuaji wa rushwa nchini. Leo tunakuletea sehemu ya tatu. Endelea…    (iii) Ukosefu wa uwazi…

Uhamiaji wawakamata Ramada, wawaachia

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imefanya upekuzi katika Hoteli ya Ramada iliyopo Mbezi Beach jijini na kuwakamata wafanyakazi watatu wa kigeni Julai 5. Ukamataji huo umetokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti hili la JAMHURI toleo lililopita lililoelezea…